Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Kwa mapenzi ya wananchi kwa Rais wao ni vema sana safari yake ikatolewa hadharani na Serikali. Wiki sasa wananchi hawajui Rais wao yuko wapi. Rais ni nembo ya nchi. Hii ni mbaya. kunafichwa nini.
Hivi una uhakika kuwa hajaoneiana wiki nzima!!?
 
Kazi ya ndege ni kuruka, mnataka ipaki Airport ioze!
 
Ndege Ina Kiherehere Hiyo Mpaka Ikamatwe Ndiyo Itatulia Sasa
 
Marehemu Ruge alisema "Ogopa sana Mungu na Teknolojia"
 
Back
Top Bottom