Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Huyu mama kwa siku kadhaa haonekani wala kusikika..

Hata Hayati Rais John P. Magufuli alianza kupotea mdogo mdogo kwa safari zisizo na kichwa wala miguu kama hivihivi anavyofanyiwa huyu mama..

Lakini ghafla tukaambiwa amelazwa yuko hoi ktk moja ya zahanati hapa DSM na baada ya siku kadhaa mbele ikawa rasmi, kuwa, hatimaye tena, he's dead!!

Huyu mama naye asifanye mchezo eti. Hizi safari za kimya kimya asije kutuletea balaa jingine hapa. Asije akawa ameenda kupata matibabu ya presha ya kushuka na kupanda..
Uzuri Tuna makamu Mwanaume haina shida tu ikimpendeza Baba
 
Yule mzee naye muoga wa kuwa Rais...kuna wakati Rais na viongozi wengine wakuu walisafiri, akaanza kujitetea kuwa kuongoza nchi ni kazi na maamuzi mengine yatasubiri Rais arejee...
Hiyo ni strategy tu,never outshine your boss .mwanzo alipoteuliwa kuwa makamu wa Raia alikua anaongea kwa mamlaka sana wakamfinya ikabidi atulie .
 
Mmemkalia kooni. Anawazoom tu. Tusubiri maamuzi magumu
Maamuzi magum atamfanyia nani, nchi ngumu hii , wafikili watz wote wapumbavu, nani alikua na maauzi magu kama mwendazake , nani alikua na maamuzi magum kama mkapa, Mwalim Nyerere , sasa mmewatibua watanganyika mtajua hamjui
 
Kuna kipindi walisema huyu mama alitaka kujiuzuru sababu alikuwa haendani na JPM ila wakubwa wakaingilia kati kum bembeleza asifanye hivyo.

Nawalaani sana hao wakubwa.
 
Nakumbuka mwaka 2005 Dr Salim alivyo fanyiwa fitina na kushindwa kuteuliwa na CCM kuwa mgombea Urais watu wengi walisikitika sana. Prof Lipumba alisema ikiwa Dr Salim mwenye uwezo wa hali ya juu hajapitishwa kugombea Urais haiji kutokea tena Mzanzibar kuwa Rais wa JMT. Mungu alivyo mkubwa tumempata Rais kutoka Zanzibar. Hii ni nafasi nzuri na ya pekee kuthibitisha kuwa Rais bora anaweza toka Zanzibar pia. Asipo itumia vizuri fursa hii hatakuwa amewasaidia Wazanzibari kwasababu utakuwa ndio mwisho wa kuwa na Rais kutoka Zanzibar. CCM wanamchora tu mama, kuanzia 2027 huko wataanza kumnanga waziwazi. Mwinyi alinangwa mpaka akakimbia ikulu kama mnakumbuka vizuri. Hili la DP WORLD mama aachane nalo tu walau hata kwa muda ili serikali ijipange vizuri.
 
Kwa mapenzi ya wananchi kwa Rais wao ni vema sana safari yake ikatolewa hadharani na Serikali. Wiki sasa wananchi hawajui Rais wao yuko wapi. Rais ni nembo ya nchi. Hii ni mbaya. kunafichwa nini.
 
Kama Bandari zimeshauzwa mtatusaidiaje kulisha familia zetu ilhali Bandari ndio ilikuwa tegemeo letu? Maana kulalamika bila Kuwa na suluhisho ni upungufu wa fikra.
 
Back
Top Bottom