Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    IMG_20230323_192240.jpg
    18.3 KB · Views: 3
Mda huu nakuandika habari hii saa 23:56 Dar Es Salaam! Radar zinaonyesha ndege ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliondoka nchini Tanzania saa 15:56 ila ilipotezwa kwenye radar dakika kadhaa baada kuruka! Muda huu naleta taarifa hii ndege ya Rais imeonekana kutua tena Dubai.

Je, imeenda kumchukua Rais?

View attachment 2706684View attachment 2706685View attachment 2706686
Safi sana hii,huu ndio uzalendo unaotakiwa,kitaeleweka tu.Lazima kuna jambo zito sana linaloendelea.Kama alidhani anaweza akauza mali ya familia akabaki salama,alikosea sana.
 
Kijana una kibali chakuifuatilia ndege ya Raisi ? Hata kama na free available public information hapa Tanzania warakutwika zigo la kuratibu na kupanga njama za kuilupua ndege ya Raisi..pamoja na kushirikiana na maadaui kuexpose taarifa zinazotishia usalama wa Namba 1 wa Taifa.
Wanaacha wenyewe ombwe la ya taarifa kwani Rais anapokuwa ana safari iwe ya kikazi au mapumzikon ni wajibu wao kutoa taarifa kwa umma! Ata hivo mi sijareport uwepo wa Rais huko Dubai, ila nimereport ndege ya Rais! Kumbuka ata Dkt Tulia alishawah kuitumia hiyo ndege na ata Waziri mkuu ashawah kuitumia hiyo ndege.

Kamala Harris akiwa anakuja Tanzania
jamiiforums.com
Where We Dare To Talk Openly › nde...
Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala ...
 
Back
Top Bottom