Atakuwa kaenda kukamilisha dili na waarabu maana leo redioni kwenye kipindi cha magazeti nimesikia bodaboda, bajaji, mama lishe wameandamana wakiunga mkono uwekezaji wa bandari na kwamba mwekezaji aje kuanza kazi pasipo kuchelewa, nchi ishakuwa saccos hii.