Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #81
Hawajui matumizi ya pesa hao.Siku hizi wengi wamebadilika, watu kama kina Michael Jordan, Diddy, Jay Zee, Dr Dre, LeBron James, Magic Johnson na wengine wengi wanaowekeza wamekuwa chachu kwa wanamichezo na wasanii weusi kuwekeza.
Bata wanakula kutoka kwenye mafaida, na si kutumbua mitaji, utawakuta kwenye Real Estates na Stock business, huwezi kukuta mwekezaji anamiliki ndege 5 kwa matumizi tu. Moja au mbili ni tosha kabisa.
Wewe huna unachokijua zaidi ya kuruka rukaIyo namna ya kuishi ya blacks wa USA ni kishamba sana ..ndo maana tuzo kama Grammy wataskiaga na kuonaga tu kwenye TV..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki na uzandiki.Kweli kabisa wala hawana msaada kwa Waafrika wenzao. Kuna huyu 50cent nayeye ovyo tu kila siku anapost ujinga tu. Hivi karibuni kuna afisa mmoja wa polisi alikuwa amepanga mpango wa kumpiga risasi za kutosha naona ingependeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mwenye akili ya vimimika(liquid)Acha kuwa na akili za mgando
Unaelewa kitu unachokipinga au unakurupuka tu?Hivyo vitu vyake vyote ndio vimejumlishwa kwenye huo utajiri ikiwemo na hiyo ndege uliyoweka hapo na bado hafiki $800m
Endelea kuota.Kwa hiyo hapo May ana almost 5% ya utajiri wa Dangote. Na wakati Dangote utajiri unaongezeka, May unapukutika.
Kila mtu apambane na hali yake, au umesahau kwamba mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?
Halafu kitu kingine usimpangie mtu namna ya kutumia pesa zake wakati hata hukumsaidia kutafuta hizo pesa.
Hivo ndo ile inafika mida status yako inapotea ..unajua wazungu washenz sana! wanamuacha aponde mali status ikipotea wanakuundia li bomu wakufilisi ..sasa Mayweither akuwekeza vya kutosha ndo inakula kwake..Mabondia wa Marekani wenye majina wenyewe wanatamani kupata pambano naye lakini hawapati, ni bahati kupata pambano naye, maana hata ukipigwa unapata jina na hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo, May huwa ana kaushamba fulani/ limbukeni just like most of black Americans ambao wamekuwa successful. Sijui kwanini anashindwa kuwa humble kama Antony Joshua(AJ), yule naonaga ana akili za wazungukama anaingiza pesa nyingi kuliko anazotumia sio mbaya ..ila wengi huishia kufilisika ..may be ni njama za wazungu wakishawatumia vya kutosha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio akili za Watanzania hizi ,huwa mnaumia kuona mafanikio ya wenzenu mnatamani leo kesho afilisike.Yani wazungu wakishawatumiaga vya kutosha na kutengeneza mpunga wa mrefu kinachofuata ni kuwafilisi tu..
Ila Me naona sawa tu maan wengi hawanaga future..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki na uzandiki.
Hao waafrika wamechangia nini kwenye maendeleo ya maisha yake?
Ahaa niliposkia zile info nikajua kweli kafilisika ..kwani ilikuwaje yeye na Rosee mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Canelo bado kinda sana kwa Floyd na hakuna mechi iliyokuwa nyepesi zaidi kwa Floyd kama hiyo kati yake na Canelo na Canelo amekuwa bora baada ya hilo pambano.Mwambie boss wako asithubutu kufanya hilo kosa hata akiahidiwa pesa ngapi, Canelo wa sasa sio yule aliyempiga enzi zile
Sent using Jamii Forums mobile app
Jay Zee yuko smart sana ..hata P diddy ni type izo za sakina Jay z ..sasa hawa vijana wa Siku hiz akina mayweither wakifika umri wa sakina jayz status zao zitakuwa hatarini kutoweka..Ukitaka kufanikiwa lazima utumie watu wenye right minds, ndiyo maana kawaweka wazungu.
Na Jay Zee ni family man, kwa hiyo utaona maisha yake yako tofauti na Black Americans wengi kwenye industry yake.
Matumizi si ishu. Ishu ni nani mwenye hela nyingi.Huyo Jordan anatumia pesa kiuoga huwezi kumfananisha na Floyd.
Hata Floyd asipofanya starehe yeyote ile ..kumfananisha/kumkuta dangote itachukua miaka kama 20/30 hivi ..Unaelewa tunabishania nini au umekurupuka???
Huyo Dangote starehe hazijui na demu hata wa kusingiziwa hana usimfananishe na Floyd.
Unaelewa kitu unachokipinga au unakurupuka tu?
Mkuu hapa hatuangalii ubahili ..ni kiwango cha utajiri ..kila mtu ni bahili hata uyo Floyd pia..Huyo Mo pesa zao za ukoo pia ni mbahili usimfananishe ma Floyd.
Mo hata kuajiri boardguard wa kumlinda anaona ubahili.