Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #81
Hawajui matumizi ya pesa hao.Siku hizi wengi wamebadilika, watu kama kina Michael Jordan, Diddy, Jay Zee, Dr Dre, LeBron James, Magic Johnson na wengine wengi wanaowekeza wamekuwa chachu kwa wanamichezo na wasanii weusi kuwekeza.
Bata wanakula kutoka kwenye mafaida, na si kutumbua mitaji, utawakuta kwenye Real Estates na Stock business, huwezi kukuta mwekezaji anamiliki ndege 5 kwa matumizi tu. Moja au mbili ni tosha kabisa.