Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Ndege ya tano kumiliki Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.

Siku hizi wengi wamebadilika, watu kama kina Michael Jordan, Diddy, Jay Zee, Dr Dre, LeBron James, Magic Johnson na wengine wengi wanaowekeza wamekuwa chachu kwa wanamichezo na wasanii weusi kuwekeza.

Bata wanakula kutoka kwenye mafaida, na si kutumbua mitaji, utawakuta kwenye Real Estates na Stock business, huwezi kukuta mwekezaji anamiliki ndege 5 kwa matumizi tu. Moja au mbili ni tosha kabisa.
Hawajui matumizi ya pesa hao.
 
Kweli kabisa wala hawana msaada kwa Waafrika wenzao. Kuna huyu 50cent nayeye ovyo tu kila siku anapost ujinga tu. Hivi karibuni kuna afisa mmoja wa polisi alikuwa amepanga mpango wa kumpiga risasi za kutosha naona ingependeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki na uzandiki.

Hao waafrika wamechangia nini kwenye maendeleo ya maisha yake?
 
Mabondia wa Marekani wenye majina wenyewe wanatamani kupata pambano naye lakini hawapati, ni bahati kupata pambano naye, maana hata ukipigwa unapata jina na hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo ndo ile inafika mida status yako inapotea ..unajua wazungu washenz sana! wanamuacha aponde mali status ikipotea wanakuundia li bomu wakufilisi ..sasa Mayweither akuwekeza vya kutosha ndo inakula kwake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama anaingiza pesa nyingi kuliko anazotumia sio mbaya ..ila wengi huishia kufilisika ..may be ni njama za wazungu wakishawatumia vya kutosha..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo, May huwa ana kaushamba fulani/ limbukeni just like most of black Americans ambao wamekuwa successful. Sijui kwanini anashindwa kuwa humble kama Antony Joshua(AJ), yule naonaga ana akili za wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa niliposkia zile info nikajua kweli kafilisika ..kwani ilikuwaje yeye na Rosee mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Fifty ana zaidi ya Usd 150mil, ila baada ya hiyo issue sasa hivi inaonesha eti ana 30 mil.

Wakati ana bifu na Rick Ross, alipost kwenye mitandao picha za Baby Mama wa Rick Ross akiwa uchi (+sex tape).

Mama wa watu kapeleka kesi mahakamani na ikaamuliwa 50 alipe $ 7 mil, ndipo aka declare bankruptcy ili ionekane hana hela ya kulipa.
 
Mwambie boss wako asithubutu kufanya hilo kosa hata akiahidiwa pesa ngapi, Canelo wa sasa sio yule aliyempiga enzi zile

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Canelo bado kinda sana kwa Floyd na hakuna mechi iliyokuwa nyepesi zaidi kwa Floyd kama hiyo kati yake na Canelo na Canelo amekuwa bora baada ya hilo pambano.
 
Ukitaka kufanikiwa lazima utumie watu wenye right minds, ndiyo maana kawaweka wazungu.

Na Jay Zee ni family man, kwa hiyo utaona maisha yake yako tofauti na Black Americans wengi kwenye industry yake.
Jay Zee yuko smart sana ..hata P diddy ni type izo za sakina Jay z ..sasa hawa vijana wa Siku hiz akina mayweither wakifika umri wa sakina jayz status zao zitakuwa hatarini kutoweka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewa kitu unachokipinga au unakurupuka tu?

Ww ndio labda huelewi maana ya net worth umeshaambiwa mtu ana $750m unakuja kusema unajua thamani ya casino aliyojenga. Net worth inajumuisha mali zako zote za thamani unazomiliki.

Na kila mwaka tutaangalia kiasi gani umeingiza tuone kama umeongeza au umepungua...usikute huyo mayweather unaemsifia miaka miwili iliyopita alikuwa na hela zaidi ya hizo lkn sasa zimepungua.


Halafu kama ww ni mdau wa boxin utajua sasa hivi jamaa sio hot cake namna hiyo mpk apewe pambano litakalompa hata $150m.
 
Back
Top Bottom