Hatujadili chuki binafsi ,jiwe anabusikaje hapoJiwe alituingiza chaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujadili chuki binafsi ,jiwe anabusikaje hapoJiwe alituingiza chaka
Jadili kwanza ndege ilifikaje huko ,ulaya ,waliongia mkataba wa kijinga kama anaotaka kuingia bibi yake ndo wajinga ,akija raisi mwenye timamu mkataba kama huu wa dp ni lazima utavunjwa tuJiwe ndiye aliyehusika na maamuzi ya kibabe ya kuvunja mikataba akifikiria kuwa yeye ndiyo mwisho wa wenye mabavu
Wazungu wana huruma sana !Jiwe alituingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi kwa kutawanya rasilimali za walipa kodi.