Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wewe ndiye kapuku kichwani na huyo Chakaza wakoJamaa ni kapuku kichwani
Hatuambiwi imeachiwa baada ya kulipa mabilioni mangapi. Haikuachiwa bure.Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.
Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.
Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.
===
Serikali imesema ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini jana.
“Leo niko hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita niliwajulisha kuna ndege yetu tulikuwa na kesi nchini Uholanzi ikakamatwa, ilikuwa chini ya mikono ya sheria. Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni iko Tanzania,” amesema Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 8, 2023 mjini Arusha.
Amesema ndege hiyo inaendelea kuandaliwa ili ianze shughuli zake.
“Chuma kimerejea kiko Tanzania, tunaendelea kuimarisha shirika letu, mambo yetu yatakuwa yaanaendelea kuwa mazuri,” amesema Msigwa aliyezungumzia masuala mbalimbali, ikiwamo miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo tofauti nchini.
Mwananchi
Mzee wa MIGA Tundu Lissu atakuwepoMgeni rasmi kwenye kuipokea ni nani?
Nimecheka kifala!Leo imekuwa ndege yenu?
R.I.P Magufuli
Maisha yamekunyoosha mpanda unashangilia kurudi kwa ndege!Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.
Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.
Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.
===
Serikali imesema ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini jana.
“Leo niko hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita niliwajulisha kuna ndege yetu tulikuwa na kesi nchini Uholanzi ikakamatwa, ilikuwa chini ya mikono ya sheria. Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni iko Tanzania,” amesema Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 8, 2023 mjini Arusha.
Amesema ndege hiyo inaendelea kuandaliwa ili ianze shughuli zake.
“Chuma kimerejea kiko Tanzania, tunaendelea kuimarisha shirika letu, mambo yetu yatakuwa yaanaendelea kuwa mazuri,” amesema Msigwa aliyezungumzia masuala mbalimbali, ikiwamo miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo tofauti nchini.
Mwananchi
Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.

Ninacho fikiria ni kuwa hizo hasara zote chanzo kikuu ni JiweHuyo msemaji wa serikali amefafanua ni kwa nini hiyo ndege ilishikiliwa huko?
Je wameshinda kesi au wamelipa fidia, na ni kiasi gani?
Je kwa muda wote wa kushikiliwa hiyo ndege, Nchi imepata hasara kiasi gani?
Je ni nani anapaswa kuwajibika na hiyo hasara?
Mlinda legacy unaweza lithibishia jukwaa hili kwa kuonyesha fedha za kununuliw ndege zilitoka mfukoni mwa JPM au ni kodi za watanzania including wapinzani wote?Leo imekuwa ndege yenu?
R.I.P Magufuli
Ungekuwa wewe ungefanyaje? Tatizo lipo kwenye matatizo yetu wenyewe.Kutokana ufukara wetu tunawaona wazungu ndio wakombozi wetu,wanakuja na business plan nzuri lakini moyoni ni wezi,tunakubali kuingia mikataba tukiwa upande dhaifu,tunaacha vifungu vikali kwetu vipite ili tu tupate pesa mwisho wanazingua makusudi ili Mvunje mkataba wakushtaki kwao wakijua huchomoki.Je utazila ndege au utaomba suluhu.Mama hana uchungu na pesa zetu hata ww ukiamua kulishika lishangingi kwa kutopata increment waweza kulipwa ,saa100 kwa kutawanya kodi zetu ninamvulia kofia
Tatizo ni umasikini wetu chini ya ccmUngekuwa wewe ungefanyaje? Tatizo lipo kwenye matatizo yetu wenyewe.Kutokana ufukara wetu tunawaona wazungu ndio wakombozi wetu,wanakuja na business plan nzuri lakini moyoni ni wezi,tunakubali kuingia mikataba tukiwa upande dhaifu,tunaacha vifungu vikali kwetu vipite ili tu tupate pesa mwisho wanazingua makusudi ili Mvunje mkataba wakushtaki kwao wakijua huchomoki.Je utazila ndege au utaomba suluhu.