Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini

Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini

Ndege ya Tanzania ilizuiliwa mnamo Desemba 2022 baada ya kampuni ya Uswidi, iliyokasirishwa na uamuzi wa serikali, kupata amri ya mahakama.

Ndege ya Tanzania iliyozuiliwa Uholanzi yaachiliwa baada ya miezi 7.jpeg

Ndege ya Air Tanzania ilizuiliwa nchini Uholanzi tarehe 2 Desemba 2022. Picha: Air Tanzania
Ndege ya shirika la Air Tanzania, ambayo ilizuiliwa nchini Uholanzi mnamo Desemba 2022, imeachiliwa.
Ndege hiyo, Airbus A220-300 5H-TCH, ilikuwa imesimamishwa baada ya kampuni ya kibinafsi ya Uswidi, EcoEnergy Limited, kushinda kesi ya dola milioni 165 dhidi ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa alisema ndege hiyo ilitua nchini kutoka Uholanzi Julai 6, 2023.
Siku ya Jumamosi, Msigwa, ambaye alizungumza katika hafla iliyofanyika kaskazini mwa jiji la Arusha, alisema Tanzania na kampuni ya Uswidi zilifanya "majadiliano yenye mafanikio" ambayo yalifikia kilele cha kuachiliwa kwa ndege hiyo.
Alisema ndege hiyo inafanyiwa ukarabati ili iweze kutumika kibiashara na Air Tanzania.
Mgogoro wa ardhi
Kampuni ya EcoEnergy Limited, mwaka 2017, iliishtaki serikali ya Tanzania baada ya kufuta hati miliki ya ardhi iliyochukuliwa na kampuni hiyo ya kigeni.
Kampuni ya Uswidi, inayojishughulisha na huduma za viwanda vya kilimo, ilikuwa na mpango wa kuendeleza mradi wa mabilioni ya dola katika eneo la Bagamoyo, mashariki mwa Tanzania kabla ya hati miliki hiyo kufutwa mwaka 2016.
Serikali ya Tanzania ilisema sehemu hiyo ya ardhi ni mali ya Hifadhi ya Taifa ya Saadani, na kwamba hati miliki ilitolewa kwa njia isiyo ya kawaida.
Kampuni ya Uswidi, ambayo ilifanya kazi katika kiwanda cha kuzalisha umeme kwa miaka kumi, na kupata gharama ya thamani ya dola milioni 52, ilisikitishwa na uamuzi huo na kuwasilisha uvunjaji wa kesi ya mkataba, ikitaka fidia ya jumla ya dola milioni 165.
Mnamo Desemba 2, 2022, kampuni hiyo ilipata amri kutoka kwa mahakama ya Uholanzi ya kukamata ndege ya Air Tanzania baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa nchi hiyo.
Tanzania ilieleza nia yake ya kukata rufaa kupinga uamuzi huo.
Makubaliano ya hivi punde yaliyofikiwa kati ya Tanzania na upande uliolalamika - ambayo yalisababisha kuachiliwa kwa ndege - bado haijulikani wazi. chanzo. Ndege ya Tanzania iliyozuiliwa Uholanzi yaachiliwa baada ya miezi 7 - TRT Afrika
 
Swali ninalojiiliza shirika la air tanzania hatuna routes za kwenda Netherlands either via sasa hawa walitua vipi hapo mpaka kukamatwa ama waliamrishwa kutua kwa nguvu wakat wanapita angani?
 
Swali ninalojiiliza shirika la air tanzania hatuna routes za kwenda Netherlands either via sasa hawa walitua vipi hapo mpaka kukamatwa ama waliamrishwa kutua kwa nguvu wakat wanapita angani?
Yaani umeniwahi, nilikuwa nasoma nikingojea sehemu itayoeleza ndege hiyo ilifikaje Uholanzi ila ni dana dana tuu.
 
Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni

Mazungumzo hayo ina maana fedha $165 million imelipwa baada ya kuelewana 'makubaliano' nje ya ICSID na siyo kushinda kesi ?
Outcome of Proceeding:
May 16, 2023
- The ad hoc Committee issues a procedural order taking note of the discontinuance of the proceeding pursuant to ICSID Arbitration Rules 53 and 43(1).

Rule 43

(1) If, before the award is rendered, the parties agree on a settlement of the dispute or otherwise to discontinue the proceeding, the Tribunal, or the Secretary-General if the Tribunal has not yet been constituted, shall, at their written request, in an order take note of the discontinuance of the proceeding.

Rule 65
Settlement and Discontinuance
by Agreement of the Parties
(1) If the parties notify the Tribunal that they have agreed to
discontinue the proceeding, the Tribunal shall issue an order
taking note of the discontinuance.
(2) If the parties agree on a settlement of the dispute before the
Award is rendered, the Tribunal:
(a) shall issue an order taking note of the discontinuance of the
proceeding, if the parties so request; or
(b) may record the settlement in the form of an Award, if the
parties file the complete and signed text of their settlement
and request that the Tribunal embody such settlement in
an Award.
(3) An Award rendered pursuant to paragraph (2)(b) does not need
to include the reasons on which it is based.
(4) The Secretary-General shall issue the order referred to in
paragraphs (1) and (2)(a) if the Tribunal has not yet been
constituted or if there is a vacancy on the Tribunal.

Source : Overview of an Arbitration - ICSID Convention Arbitration (2022 Rules) | ICSID

TOKA MAKTABA :

Air Tanzania Plane Seized in the Netherlands Over Land Issues​

BYBABATUNDE OGUNTIMEHIN
DECEMBER 2, 2022

maxresdefault-14.jpg

Air Tanzania Company Limited plane has been seized in the Netherlands after a Swedish firm won a $165 million award against Tanzania due to revoked land title in the Bagamoyo sugar project.
It is still not clear exactly which aircraft on ATCL’s fleet has been seized.
However, on Wednesday, the government dispelled fears of the possible attachment of an ATCL plane by a Dutch court, with the Attorney General saying everything was under control.
Attorney General of Tanzania, Dr Eliezer Feleshi confirmed that a Swedish firm that won a $165 million award against Tanzania had persuaded the court to uphold the attachment of the aircraft despite the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) having issued a stay of execution, pending annulment proceedings.
sgg.jpg

“It’s true that they went to court in the Netherlands after we had successfully appealed to the ICSID for a stay of execution. Everything is under control,” he said.

Dr Feleshi added that the government had already appealed against the Dutch court’s decision, but declined to offer further details.

“I can’t disclose further details…let’s be patient as the matter is in court.”

Tanzania has argued that the attachment is unlawful because it was obtained a day after the State had petitioned the ICSID to annul EcoDevelopment’s award.

The judge reasoned that the ICSID’s provisional stay of execution of the award only took effect on the date the institution registered the state’s annulment request.

The Swedish company is using the legal firm Houthoff in the Dutch courts, and Mannheimer Swartling in the ICSID proceedings.

Tanzania on the other hand has turned to Buren Legal for the attachment proceedings but has not appointed an external counsel in the arbitration or annulment proceedings.

EcoDevelopment, which is owned by 18 Swedish nationals, brought its ICSID claim in 2017 under the Sweden-Tanzania bilateral investment treaty.

That came after the government decided to unilaterally revoke the land title for a multi-billion sugar project in Bagamoyo.

The case commenced at the ICSID, a World Bank organ based in Washington.
 
Washington

Kesi

EcoDevelopment in Europe AB and EcoEnergy Africa AB v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/17/33)​

  • Subject of Dispute:
    Agribusiness project
  • Economic Sector:
    Agriculture, Fishing & Forestry
  • Instrument(s) Invoked: (i)
    BIT Sweden - Tanzania 1999
  • Applicable Rules:
    ICSID Convention - Arbitration Rules
  • (a) Original Proceeding​

    • Claimant(s)/Nationality(ies): (i)
      EcoDevelopment in Europe AB (Swedish), EcoEnergy Africa AB (Swedish)
    • Respondent(s):
      United Republic of Tanzania (Tanzanian)
    • Date Registered:
      September 11, 2017
    • Date of Constitution of Tribunal:
      February 23, 2018
    • Composition of Tribunal​

    • President:
      Christopher GREENWOOD (British) - Appointed by the Chairman of the Administrative Council
    • Arbitrators:
      Stanimir A. ALEXANDROV (Bulgarian) - Appointed by the Claimant(s)
      Olufunke ADEKOYA (British, Nigerian) - Appointed by the Chairman of the Administrative Council
    • Party Representatives​

    • Claimant(s):
      Mannheimer Swartling Advokatbyrå AB, Stocklom, Sweden
      Prof. Dr. Kaj Hober, London, U.K.
    • Respondent(s):
      Office of the Attorney General, Dar es Salaam, Tanzania
    • Language(s) of Proceeding:
      English
    • Status of Proceeding:
      Concluded
    • Outcome of Proceeding:
      April 13, 2022 - The Tribunal renders its award.
  • (b) Annulment Proceeding​

    • Applicant(s)/Requesting Party(ies): (i)
      Respondent(s)
    • Date Registered:
      June 21, 2022
    • Date of Constitution of ad hoc Committee:
      July 18, 2022
    • Composition of ad hoc Committee (Appointed by the Chairman of the Administrative Council)

    • President:
      Michael D. NOLAN (U.S.)
    • Members:
      Carole MALINVAUD (French)
      Githu MUIGAI (Kenyan)
    • Party Representatives​

    • Claimant(s):
      Mannheimer Swartling Advokatbyrå AB, Stocklom, Sweden
    • Respondent(s):
      Office of the Attorney General, Dar es Salaam, Tanzania
    • Language(s) of Proceeding:
      English
    • Status of Proceeding:
      Concluded
    • Outcome of Proceeding:
      May 16, 2023 - The ad hoc Committee issues a procedural order taking note of the discontinuance of the proceeding pursuant to ICSID Arbitration Rules 53 and 43(1).

Source : Overview of an Arbitration - ICSID Convention Arbitration (2022 Rules) | ICSID
 
Mazungumzo hayo ina maana fedha $165 million imelipwa baada ya kuelewana 'makubaliano' na siyo kushinda kesi ?

TOKA MAKTABA :

Air Tanzania Plane Seized in the Netherlands Over Land Issues​

BYBABATUNDE OGUNTIMEHIN
DECEMBER 2, 2022

maxresdefault-14.jpg

Air Tanzania Company Limited plane has been seized in the Netherlands after a Swedish firm won a $165 million award against Tanzania due to revoked land title in the Bagamoyo sugar project.
It is still not clear exactly which aircraft on ATCL’s fleet has been seized.
However, on Wednesday, the government dispelled fears of the possible attachment of an ATCL plane by a Dutch court, with the Attorney General saying everything was under control.
Attorney General of Tanzania, Dr Eliezer Feleshi confirmed that a Swedish firm that won a $165 million award against Tanzania had persuaded the court to uphold the attachment of the aircraft despite the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) having issued a stay of execution, pending annulment proceedings.
sgg.jpg

“It’s true that they went to court in the Netherlands after we had successfully appealed to the ICSID for a stay of execution. Everything is under control,” he said.

Dr Feleshi added that the government had already appealed against the Dutch court’s decision, but declined to offer further details.

“I can’t disclose further details…let’s be patient as the matter is in court.”

Tanzania has argued that the attachment is unlawful because it was obtained a day after the State had petitioned the ICSID to annul EcoDevelopment’s award.

The judge reasoned that the ICSID’s provisional stay of execution of the award only took effect on the date the institution registered the state’s annulment request.

The Swedish company is using the legal firm Houthoff in the Dutch courts, and Mannheimer Swartling in the ICSID proceedings.

Tanzania on the other hand has turned to Buren Legal for the attachment proceedings but has not appointed an external counsel in the arbitration or annulment proceedings.

EcoDevelopment, which is owned by 18 Swedish nationals, brought its ICSID claim in 2017 under the Sweden-Tanzania bilateral investment treaty.

That came after the government decided to unilaterally revoke the land title for a multi-billion sugar project in Bagamoyo.

The case commenced at the ICSID, a World Bank organ based in Washington.
Kinachotkiwa ni ndege yetu kurudi kundini
 
Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.

Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.

Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.

Kuhusu ndege kukamatwa soma
===

Serikali imesema ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini jana.

“Leo niko hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita niliwajulisha kuna ndege yetu tulikuwa na kesi nchini Uholanzi ikakamatwa, ilikuwa chini ya mikono ya sheria. Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni iko Tanzania,” amesema Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 8, 2023 mjini Arusha.

Amesema ndege hiyo inaendelea kuandaliwa ili ianze shughuli zake.

“Chuma kimerejea kiko Tanzania, tunaendelea kuimarisha shirika letu, mambo yetu yatakuwa yaanaendelea kuwa mazuri,” amesema Msigwa aliyezungumzia masuala mbalimbali, ikiwamo miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo tofauti nchini.

Mwananchi
Sema imeachiwa baada ya kulipa 300bn za eco energy
 
Deni fidia mwekezaji wa Sweden mradi wa shamba Bagamoyo $165 million

Gharama ya ununuzi wa ndege cash $91.5 million Airbus last published its list prices in 2018, where a brand new A220-300 was listed with a cost of $91.5 million
 
Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.

Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.

Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.

Kuhusu ndege kukamatwa soma
===

Serikali imesema ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini jana.

“Leo niko hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita niliwajulisha kuna ndege yetu tulikuwa na kesi nchini Uholanzi ikakamatwa, ilikuwa chini ya mikono ya sheria. Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni iko Tanzania,” amesema Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 8, 2023 mjini Arusha.

Amesema ndege hiyo inaendelea kuandaliwa ili ianze shughuli zake.

“Chuma kimerejea kiko Tanzania, tunaendelea kuimarisha shirika letu, mambo yetu yatakuwa yaanaendelea kuwa mazuri,” amesema Msigwa aliyezungumzia masuala mbalimbali, ikiwamo miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo tofauti nchini.

Mwananchi
labda tumelipa shilingapi kimya kimya, hii yote ni kutokana na kuingia mikataba mibovu na kuivunja pasipo akili.
 
Taarifa fupi iliyosomwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema mbele ya waandishi wa habari ilesema uwekezaji huo ni utekelezaji wa vitendo wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25, Ibara ya 59, ukurasa wa 92.

Mkataba wa DP World naye anatuzengea akichungulia madirishani kudai fidia hadi taarifa ya Halmashauri Kuu ya CCM imeona bora mapande ya nchi ya bandari na ushoroba ulio pembezoni yachukuliwe maana jamaa wakidai itabidi nchi nzima ipigwe mnada kwa mikataba mibovu walioingia serikali ya CCM.
 
Magufuli apate wapi ela ya kununua ndege?

Umerogwa?
Ndo sababu mtazamo wangu kwa vyombo vya habari vya Tanzania ni chanya. Tunahitaji kupata habari zaidi kuliko kutoa taarifa kwamba ndege yetu imerudi. Sote tunafahamu kwamba ndege ilikamatwa huko Uholanzi baada ya kampuni ya EcoDevelopment ya Sweden kupeleka shauri mahakamani ikidai fidia ya $165m kutokana na uamuzi wa serikali kufuta hati ya umiliki wa ardhi ya kampuni hiyo huko Bagamoyo. Kampuni hiyo ilikuwa imepewa ardhi na serikali ili kutekeleza mradi wa kutengeneza sukari. Mwandishi wa habari aliye makini angejumuisha yafuatayo katika taarifa yake:
a) Kama serikali ilishinda kesi hiyo na ndege kuachiwa
b) Serikali ilishindwa katika kesi hiyo hivyo serikali ikailipa kampuni hiyo $165 ndipo ndege ikaachiwa.
Kwa sasa sisi wasomaji wa habari hizo hatuna majibu ya maswali haya ambayo yalitakiwa kuulizwa na wanahabari.
 
Kulingana na taarifa ya msemaji mkuu wa serikali ndugu yetu Msigwa hakutoa ufafanuzi huo unavyotaka wewe mkuu.
 
Tunaomba Wakili Mwabukusi na Tundu Lissu wafuatilie na tujue tumelipia ngapi, na kwanini tuliingia mkataba wa kimangungo kumpa ardhi mswidish alietunyoosha
 
Back
Top Bottom