Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Jul 10, 2023 #121 Mmawia said: Jiwe alituingiza chaka Click to expand... Hatujadili chuki binafsi ,jiwe anabusikaje hapo
Mmawia said: Jiwe alituingiza chaka Click to expand... Hatujadili chuki binafsi ,jiwe anabusikaje hapo
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jul 10, 2023 Thread starter #122 zithromax said: Hatujadili chuki binafsi ,jiwe anabusikaje hapo Click to expand... Jiwe ndiye aliyehusika na maamuzi ya kibabe ya kuvunja mikataba akifikiria kuwa yeye ndiyo mwisho wa wenye mabavu
zithromax said: Hatujadili chuki binafsi ,jiwe anabusikaje hapo Click to expand... Jiwe ndiye aliyehusika na maamuzi ya kibabe ya kuvunja mikataba akifikiria kuwa yeye ndiyo mwisho wa wenye mabavu
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Jul 11, 2023 #123 Mmawia said: Jiwe ndiye aliyehusika na maamuzi ya kibabe ya kuvunja mikataba akifikiria kuwa yeye ndiyo mwisho wa wenye mabavu Click to expand... Jadili kwanza ndege ilifikaje huko ,ulaya ,waliongia mkataba wa kijinga kama anaotaka kuingia bibi yake ndo wajinga ,akija raisi mwenye timamu mkataba kama huu wa dp ni lazima utavunjwa tu
Mmawia said: Jiwe ndiye aliyehusika na maamuzi ya kibabe ya kuvunja mikataba akifikiria kuwa yeye ndiyo mwisho wa wenye mabavu Click to expand... Jadili kwanza ndege ilifikaje huko ,ulaya ,waliongia mkataba wa kijinga kama anaotaka kuingia bibi yake ndo wajinga ,akija raisi mwenye timamu mkataba kama huu wa dp ni lazima utavunjwa tu
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 11, 2023 #124 Mmawia said: Jiwe alituingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi kwa kutawanya rasilimali za walipa kodi. Click to expand... Wazungu wana huruma sana !
Mmawia said: Jiwe alituingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi kwa kutawanya rasilimali za walipa kodi. Click to expand... Wazungu wana huruma sana !