Ningekuwa mkatili ningekuambia deni husika lilipoanzia. Mimi ni nani wa kumuambia mtoto wa kizungu Santa isn't real.Tatizo hizo pesa zinawanufaisha wao zaidi ndio maana sie tuna enjoy tu.!
Enzi za Magu ingetuuma sana maana alitumia hizo pesa kujengea lami kijijin kwetu na kujenga masoko, stend n.k
Kuna mjinga mmoja aliwabatiza kwa (MOTO) hilo jina..... nao wamelishikilia.Hivi mpaka leo bado mnajiita wanyonge? Then unaona sifa sana kujiita mnyonge?
Pathetic
Mabeberu HawatupendiShida nini tena jamani? Nani hao wasio na nia njema na taifa hili?
Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Kwani kipindi cha Magufuli hazikukamatwa na magazeti yakaandika? Sema kwa Magufuli mafisadi yaligonga mwamba, hakuna ndege iliyochuliwa na kesi zao za kubumba zilishindwa, na wewe naona ni uzao wa mafisadi, endelea kulamba asali tu.Kweli magazeti siku hizi yana ka-uhuru ka kuandika kitu, ingekuwa enzi zile…wangekiona…
Vipi Mwajemi katia guu lake hapo?Acha tu ikamatwe ili tutawaliwe vizuri. Wakati wa JPM wengi waliziponda na kumzodoa leo zinakamatwa watu hao wanajifanya kuumia, huu ndo unafiki wenyewe na mie nasema acha tupigwe.
Alafu msiyoyajua ni mengi kuliko yaliyo nyuma ya hili lakini yote kwa yote ukidhani Ikulu ni kupigiwa tu saluti na mizinga unajidanganya. Ikulu ni mahala patakatifu, tunayoyapitia kama nchi kwa sasa hivi kwakweli nchi yetu inaumizwa sana lakini Mungu ndo anajua.
Wawekezaji feki hawataki ushindani, kwanini ili wewe uendelee ufikilie kuua vya eengine kwanza?
Acha wateke soko lote kwa hila. Hivi zinazoruka leo zimebaki ngapi vile maana muda si mrefu zinaisha hizi. Ambaye angeweza kusimamia leo hayupo sasa nani atasimama leo, kwa maoni yangu ni bora hizi ndege ziuzwe zote pesa ifanye mengine.
Tukiziacha ziishe zenyewe tutaambulia vilio vikubwa sana watanzani, ni heri nusu shari kuliko shari zima.
Tunastahili laana.
Mungu amsaidie dogo kashaanza kuota kibinda.
Tabia zetu za kutofuata katiba na sheria, zimetujengea mazoea za kutoheshimu hata mikataba.Shida nini tena jamani? Nani hao wasio na nia njema na taifa hili?
Hapa suala siyo kushangilia au kuchukia, bali kujiuliza:Kuna watu watashangilia. Na kuombea iwe kweli.
Hao watakuwa wanga!.Kuna watu watashangilia. Na kuombea iwe kweli.
Nchi za wenzetu zilizoendelea ukigombana na raia mmoja hata kama amevunja sheria ujue umegombana na serikali. Ukimfungia biashara mtu mmoja ni kama umegombana na nchi.Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!
Dawa ya deni ni kulipa.Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.