Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Ndugu sheria ya nchi ni automatic clause term kwenye mkataba, kama sheria inasema raisi ana uwezo wa kufuta matumizi ya ardhi at whim hiyo ni contract term pia.

Na kwa Tanzania utadai fidia kama eneo tayari ushaliendeleza, ata huko mahakamani fidia za breach of contract inataka uonyeshe hasara ilipo. Sasa mtu ajaendeleza ardhi hiyo thamani ya fidia ina kadiriwa vipi.

Ni hivi serikali iseme inatosha huu mchezo hawa watu wanachofanya sasa ni kutuongezea umaskini, ni kulipeleka ili swala UN, WTO, EU jinsi ICSD inavyokosa credibility na inatumika kuiadhibu Tanzania kwa kesi za kijinga na nchi zinazo kamata mali.

This is becoming a serious violation of Tanzania trade rights.
 
Wamewatoa wapinzani Bungeni na madiwani, na serikali za mitaa na vijiji
2020 mchele mzuri Tsh 1,500/- leo 2022 Tsh 3,000/-, maharagwe kutoka 2,000/- kilo hadi Elfu 4
Kumbe wapinzani walikuwa wanatuchelewesha huku [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu inabidi uandaliwe Degree ya Heshima ya Uchumi.
 
Rais alisema TLS wakimbana kwa sheria za kimataifa, atawabana kwa za ndani.

Watu wa ughaibuni wakimbana kwa sheria za kimataifa, wakahodhi ndege, atafanya nini?
Yes Serikali ya CCM ilimfukuza muwekezaji kwa sheria zetu za ndani, sasa leo anatumia sheria za nje kukamata ndege alipwe pesa yake serikali imeanza kurusha miguu.
 
Tundu Lissu ni mtu ambae mara nyingi anatoa misleading information which aims to justify his legal position, not necessarily anasimamia ukweli mara zote.

In any legal contract hakuna term inayoweza override existing sheria za nchi ndio maana huko kwenye LNG moja ya kitu kilicho chelewesha majadiliano ni wawekezaji kuto taka sheria za oil and gas alizoleta Prof Muhongo kutowahusu wao.

Halafu kwenye huu mzozo sio sheria tu inampa mamlaka raisi, ata hiyo ardhi yenyewe ilikuwa na mgogoro isitoshe so kuna kukiukwa kwa sheria vilevile kwenye upatikanaji wake.

Ni kesi ya ovyo mno
 
sheria inasema raisi ana uwezo wa kufuta matumizi ya ardhi at whim hiyo ni contract term pia.

Nchi zingine zinaendesha serikali bila kuwa na rais au waziri mkuu mtendaji kwa hata miaka miwili.
Hivyo suala la rais wa Tanzania ana mamlaka makubwa, upande wa duniani huko hawalipewi nguvu kisheria. Kwao Rais ni mtumishi au ajenti kwa niaba ya serikali. Hivyo anayebanwa ni serikali wala siye mtumishi anayeingia ikulu kama rais na kutoka kwa namna nyingi.

Pili mwekezaji wa shamba la miwa anaweza kudai tayari aliingia mikataba ya kununua au kukodi ma caterpillar na excavator za kungoa visiki, amechukua juhudi za mwanzo kukopa fedha ktk mabenki, gharama za usumbufu kuja Tanzania kwa majadiliano n.k n.k

Hayo yote yakijumlishwa na pia serikali dakika ya mwisho kuvunja mkataba na pia kutozingatiwa wajibu wa kuwashawishi wanakijiji kuhama n.k ni sawa na kuitapeli kampuni hiyo ya mwekezaji toka Sweden

Hivyo kwa mazingira hayo serikali ya Tanzania hakuna namna zaidi ya kulipa kitita hicho cha pesa baada ya mtumishi / ajenti wao (yaani rais) kuvunja mkataba.

Hapo ndipo tunapoona madhara ya madaraka makubwa kwa mtumishi namba moja wa serikali kwa jina lingine rais. Katiba mpya inaweza kuangalia na hili jambo kumdhibiti mtumishi huyu asilete hasara na madhara.
 
Ndugu sheria za nchi ni automatic contract term elewa hilo. Kama ukuzingatia basi elewa zinaweza kuku affect anytime, sio Tanzania tu bali unapowekeza nchi yeyote.

Pili unapodai damages lazima uonyeshe costs evidence; kumbuka hiyo kesi ni ya Tanzania so onyesha hayo matractor yalipo and so forth, receipt za manunuzi, huo mkopo na mambo mengine luluki. Damages sio guess work ni quantifiable on evidence.
 
Majaliwa wa uokoaji nadhani anaweza kutusaidia hata katika hili
 
Mbona CCM nzima ilifurahia Lissu kulimwa risasi, na CCM ikamfukuza ubunge na bado CCM kupitia sirro wakakataa kufanya upelelezi.
Sasa huyo ZUZU LISSU NA ZELENSKY WANA TOFAITI GANI TENA UKIZINGATIA WOTE NI MABWABWA WASIO NACHEMBE YA UZALENDO
 
damages lazima uonyeshe costs evidence; kumbuka hiyo kesi ni ya Tanzania so onyesha hayo matractor yalipo and so forth, receipt za manunuzi, huo mkopo na mambo mengine luluki. Damages sio guess wor

Soma andiko hili kuhusu changamoto kwa serikali na wawekezaji wakubwa kutoka nje :

22 Sep 2017

Author:Kaitlin Cordes & Jesse Coleman, Earth Institute, Columbia University (USA)

Agro EcoEnergy sues Tanzania after govt. cancels project due to concerns over human rights impacts​


"Not So Sweet: Tanzania Confronts Arbitration over Large-Scale Sugarcane and Ethanol Project"

Large-scale agricultural investments raise a number of challenges: negative environmental and social impacts, often borne primarily by local communities and land users, as well as operational and reputational risks, which have pained many an investor.

Host governments also confront a number of challenges arising from investments, from facilitating investments that align with sustainable development objectives, to monitoring investor compliance with relevant obligations and best practices regarding responsible investment.

One challenge that receives less attention is the risk that governments run of being sued by investors when projects don’t proceed as planned, often for legitimate reasons.

Tanzania is currently confronting this challenge, faced with a new international investment dispute tied to a proposed large-scale sugarcane and ethanol production project.

The dispute concerns the Agro EcoEnergy project in Bagamoyo, a venture that has been criticized for its potential impacts on local farmers and villagers...

In January 2015, the Tanzanian parliamentary committee on Land, Natural Resources, and Environment reportedly required the Ministry of Lands, Housing, and Human Settlements Developments to recover 3,000 hectares of the land allocated for the project that fell within the national park; the following year, the entire project was reportedly halted.

The claim against Tanzania is being brought by four companies involved in the project, under a bilateral investment treaty in force between Sweden and Tanzania.

It will be determined by means of investor-state arbitration, a unique and privileged form of dispute settlement available to foreign investors under many international investment agreements (IIAs), including the Sweden-Tanzania treaty.

Investors with recourse to investor-state arbitration can bypass domestic court systems, bringing their claims directly before an international panel of arbitrators

More info :

Sunlodges Ltd (BVI) and Sunlodges (T) Limited v. The United Republic of Tanzania (PCA Case No. 2018-09)

Investment: Ownership of the Mikindani (or Kabisela) estate used for cattle farming activities.

Summary: Claims arising out of the Government's alleged seizure of the claimants’ cattle farming land in order to build a cement works and a power station

 
Tanzania ina matatizzo makuu 2, Uislamu na Upagani, ndio maana hatuendelei.

Christianity is the solution and the way!
 
Kuvuka local legal system hilo sio jambo la kushangaza kwenye FDI if anything mwekezaji makini atataka uwepo wa stabilisation clause.

Nonetheless kwenye arbitration hata za nje ya nchi aina maana contract clause/terms which are implied by local laws are not included in hearing of the dispute.

Halafu there is a strong ground case ya kufuta hiyo ardhi ambazo hata hiyo nakala imeziongelea eneo lipo ndani ya national park so kuna swala la eco system, kulikuwa na mgogoro wa land usage with locals and the project was not environmental sustainable. Hiyo tu tosha ata ukitumia sheria zao za environmental concern unashinda kesi kwa sheria za EU.

But then kwa sheria yetu ambayo hiyo contract inahusu zaidi na raisi ana mamlaka ya kufuta matumizi ya ardhi ndio kabisa, halafu ardhi yenyewe ilikuwa bado aijakuwa developed.

Ni hivi Tanzania inatakiwa iseme inatosha sasa na hawa wa Dutch inatakiwa tuwafanye mfano sio kuogopa mabeberu mahakama zao azijui sheria zetu, isitoshe swala bado lipo mahakamani wao wameshika ndege yetu. Wangeanza na kumtimua balozi wao kuonyesha wapo serious this is becoming too much.
 
kuonyesha wapo serious this is becoming too much.

Tupeleke timu mahiri ya wanasheria wa ofisi ya Solicitor General / Wakili Mkuu wa Serikali akapangue hoja na kuishawishi tribunal hiyo ya kimataifa. Tanzania inauzoefu wa kutumia sheria kuwezesha ndege kuachiliwa. Rejea kesi ya ndege ya Air Tanzania kushikiliwa Afrika ya Kusini.


OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI:

Missioon and Vission​

Dhima:
Kuendesha Madai ya Mashauri ya Upatanishi, Usuluhisho na Mashtaka mengine ya kiraia kwa ufanisi na kiutaalam kwa niaba ya Serikali.
Dira:
Kuwa Ofisi Mahiri ya Umma ya Kuendesha kesi na Mashauri ya Madai yanayoihusu Serikali soma zaidi : Missioon and Vission |Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Missioon and Vission​

Typo error hiyo ya maneno mawili imeonekana katika tovuti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali. Tuna matumaini kosa litarekebishwa

30 Agosti 2019
Gauteng, Republic of South Africa.

DENI LA MKULIMA LASABABISHA NDEGE YA AIR TANZANIA KUKAMATWA AFRIKA YA KUSINI


  • Ndege ya Air Tanzania aina ya airbus A220-300 imezuiwa katika uwanja wa Ndege wa Oliver Tambo nchini Afrika Kusini Agosti 23, 2019 kwa amri ya Mahakama ya Geuteng, Johnnesburg nchini humo.
Dar es Salaam. Jopo ya wanasheria waliopelekwa na Tanzania kupinga amri ya kushikiliwa kwa ndege ya Air Tanzania wameiambia mahakama ya Gauteng, Afrika Kusini kwamba amri ya kushikiliwa ndege hiyo ilitolewa kimakosa.

“Tumeonyesha kwamba amri ya kuishikilia ndege ya Air Tanzania aina ya airbus A220-300 ilitolewa kimakosa dhidi ya Serikali, kwa hiyo tumetaka iondolewe,” wakili Ngaukaitobi aliiambia mahakama.
Wakili Roger Wakefied anayemwakilisha mkulima Hermanus Steyn amesisitiza kuwa kuna kesi ya msingi ya kujibu na ameitaka mahakama hiyo kuangalia vigezo vya madai hayo na kuvitendea haki.
 
Tupeleke timu ya wanasheria wa ofisi wa Solicitor General / Wakili Mkuu wa Serikali akapangue hoja na kuishawishi tribunal hiyo ya kimataifa


View attachment 2432687
May be ila hawa watu last time agrument iliyowaokoa ilikuwa Tanzania aina bilateral arguments na S.A ya kukadhia kesi za migogoro (I got the thinking waliokotea hiyo notion humu humu JF kwenye majibizano ya ndege iliposhikwa).

Tatizo lao baada ya kushinda kesi awakuwachukulia hatua S.A ata za kudai fidia ya loss of business for grounding our plane against the law nor compensation on the legal costs which the nation incurred.

Mjomba hii dunia ukikubali kuwa zuzu watu watakupanda hadi kichwani; ndio Tanzania ilipo kwenye legal matters tunaonekana mazuzu and easy pick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…