Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu, mleta uzi huu, ameweka chanzo, hivyo tusiwe wavivu wa kuitafuta hiyo habari. Hilo ni gazeti la Mwananchi la leo. Habari kamili ipo humo!Watanzania wape kichwa cha habari tu story wanatengeneza wenyewe.
Kwanini mtu usisubiri habari kamili au hata uwe na background kidogo za nani mdai, ndege imekamatwa wapi, lini etc kabla ya kupita ili watu wa comment on merit.
Dereva mpya mafunzoniHivi imekamatwa ikiwa na abiria au ikiwa tupu?
Maana kama haina abiria inabidi waeleze ilikuwa imeenda kutafuta nini huko
Itakuwa malipo ya uongozi wa kimabavu usio na akili wa Mwendazake! Ila hii habari si kweli!
Acha ujinga Makonda. Wakati wa Magufuli ndege nyingi zilishikwa na ziliachiwa baada ya kulipa madeni. Ule ulikuwa ubabe wa kisenge tuLisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.
Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa
Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.
Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Utaambiwa yale marekebisho ya engine ndo yalisababisha iende huko bila abiria..!!Hivi imekamatwa ikiwa na abiria au ikiwa tupu?
Maana kama haina abiria inabidi waeleze ilikuwa imeenda kutafuta nini huko
Mwasisi wa haya yote ni JiweNa enzi zake wakina lissu wangejitokeza kupiga kelele, lakini leo wameufyta nakuimba mapambio ya mama anaupiga mwingi.kuna siku ndugai alisema nchi itapigwa mnada,matokeo yake mkaanza kumnanga.
Team JPM upooo?Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.
Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa
Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.
Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Huyu huyu wa kuwajua wake za watu..Ndungai huyu huyu aliyesema atake asitake tutamwongezea muda na mtu wa kwanza kumwona mke wa Yesu au Ndungai yupi?
Hivi mpaka leo bado mnajiita wanyonge? Then unaona sifa sana kujiita mnyonge?Halafu bogus wamempa phd ya kufunya mali za wanyonge.
Kumbavu ww hayo madeni ya kitambomalipo ya uongozi wa kimabavu wa Mwendazake!
Mali ya umma unauliza wanafaidika nini??Wafurahie wasifurahie,wanafaidika nini na hiyo ndege?
Hela wale wenyewe huko na ndugu zao... kwenye shida tujumuishwe wote wanikomeee!Hapo watasema tuungane kama taifa, na tuwe na uvumilivu na subra maana ndio kauli zao kama kuna matatizo
Mtu akishakubali itwa mnyongeHivi mpaka leo bado mnajiita wanyonge? Then unaona sifa sana kujiita mnyonge?
Pathetic
Hio ni mali yenu kwa ajili ya watoto wao, sasa hawa wahunu mkiendelea kuwafanyia utani mtalia sanaKheee