Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Watanzania wape kichwa cha habari tu story wanatengeneza wenyewe.

Kwanini mtu usisubiri habari kamili au hata uwe na background kidogo za nani mdai, ndege imekamatwa wapi, lini etc kabla ya kupita ili watu wa comment on merit.
Mkuu, mleta uzi huu, ameweka chanzo, hivyo tusiwe wavivu wa kuitafuta hiyo habari. Hilo ni gazeti la Mwananchi la leo. Habari kamili ipo humo!
 
Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.

Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa

Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.

Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Acha ujinga Makonda. Wakati wa Magufuli ndege nyingi zilishikwa na ziliachiwa baada ya kulipa madeni. Ule ulikuwa ubabe wa kisenge tu
 
Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.

Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa

Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.

Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Team JPM upooo?
 
Back
Top Bottom