SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Angalia post # 8. Hawa vibaka wapuuzi sanaChawa hawakawii kusema ni Lissu.
Hakuna cha kufunguka wala nini.. Wenzetu mpaka wakukamate wana kila sababu na kila ushahidi wa kufanya hivyo, DAWA YA DENI NI KULIPA! Tusijidanganye hatuna wanasheria makini wa kutuchomoa kwenye hii jam
Usijekuta imepeleka ngadaHivi imekamatwa ikiwa na abiria au ikiwa tupu?
Maana kama haina abiria inabidi waeleze ilikuwa imeenda kutafuta nini huko
Ndege zenyewe zimenunuli na Magufuli,sema Sasahivi mafisadi wanaujumu shirika ili wapate kujimilikisha, mbona hawakuzikamata Wakati wa Magufuli?hata kama zilikamatwa ziliachiwa.Mama yenu Sasahivi anacheza ngoma ya mafisadi,baada ya Rostam kanunua ndege zake, Sasahivi anafanya ila shirika lefe Viongozi waanze kukodisha ndege zake.Hivi kuna Rais aliyeharibu hii nchi kuzidi Jiwe?
Acha kulopoka come with evidenceHalafu bogus wamempa phd ya kufunya mali za wanyonge.
Enzi za Magufuli hii habari "mapapa" wange i publish ingekuwa viral inge trend mitandaoni sana
Uzuri wa nchi hii yote yanayokuwa yanaonekana ni kuikosoa serikali huwa yanarudi Kwa njia nyingine, Bashiru alikosolewa baada ya kusema anakwanzwa na kusifu na kuabudu....juzi Rais amekemea huo ujinga...............Ipo siku na hii nchi itapigwa mnada kama alivyosema Ndugai.
Kumbavu ww hayo madeni ya kitambo
Mali ya umma unauliza wanafaidika nini??
Msomi wetu Msukuma anasemaje?
Hajatoa neno lakini anatuwakilisha vizuri watanzania wenye elimu ndogo!Msomi wetu Msukuma anasemaje?
Lissu ni adui wa taifa hili, natamani taarifa hii isiwe ya kweli, kama ni kweli mtuhumiwa wa kwanza awe lissu
Diaspora huyo wa kanda ya ZiwaMsomi wetu Msukuma anasemaje?
Ndo akili zenu zilivyo mkope nyie watu wanataka chao lawama kwa LissuLissu ni adui wa taifa hili, natamani taarifa hii isiwe ya kweli, kama ni kweli mtuhumiwa wa kwanza awe lissu
Kwa hiyo habari mbaya kama hii kwa nchi wewe haikuhusu ndugu yangu? Hadi uambiwe tuungane? Hivi huku tunaelekea wapi? Badilika. Tanzania ikihujumuwa unahujumiwa wewe na mnyororo wa vizazi vyako mijini na vijijini. #Wake up. πππ