Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

MACHADEMA yamesharukia kama popo sijui wakoje. Hapo hamna issue ni part tu ya court proceedings zikiisha ndege yetu airbus mtaiona inakata mawingu.

Deni halitaki maneno, linatakiwa kulipwa. Kalipeni deni acheni utapeli.
 
Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!
Hivi umeilewa hoja hapa au unaamua tu kumkoromea tu mleta hoja?
 
Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.

Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa


Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.

Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
Wewe pimbi hazikuachiliwa tu bali tulilipa deni, dawa ya deni ni kulipa. Mumeo ana shida sana kuoa mwanamke kilaza kama wewe.
 
Nilivyomwona Rostam kanunua ndege zake tu nikajua shirika hili la Atcl lazima liuwawe kwa nguvu zote, ili Bwana huyu ndege zake ziteke rout zote za ndani, Sasahivi Viongozi wengi wameisha acha kupanda ndege za Atcl wanatembea na za kukodi hata pale Bk Waziri mkuu kaenda na ya kukodisha kama sijakosea, juzi tumeambiwa ndege za Atcl zimesimama kwasababu ya injini zake mbovu mpaka zifanyiwe marekebisho,leo hii hata uliyokuwa ikitembea nayo imekamatwa.Ngoja tuone mafisadi watalifikisha wapi taifa hili
 
Kwa hiyo habari mbaya kama hii kwa nchi wewe haikuhusu ndugu yangu? Hadi uambiwe tuungane? Hivi huku tunaelekea wapi? Badilika. Tanzania ikihujumuwa unahujumiwa wewe na mnyororo wa vizazi vyako mijini na vijijini. #Wake up. 🙏🙏🙏
Kwenye mabaya tuungane, kwenye ulaji wa keki ya taifa wanakula peke yao, huoni hapo hakuna usawa?
 
Huyu ni muungwana sana, hata Kama utendaji sio. Utamchukia kwa mapungufu yake ya kazi Kama mgao etc, lakini yeye binafsi Kama samiah utamchukia kwa lipi?
Kwa taarifa yako kuna watu wanamchukia na wana sababu za msingi usiwazungumzie watu kwa mtazamo wako....... asichukiwe ye nani?
 
Nikupe nauli mkuu?
Nauli ipo ya kutosha hata nikitaka kwenda kwa Biden inatosha hata kuishi miaka miwili shida ni kupata upenyo wa kuishi kama raia maana bongo unaweza kufa na stress sana, mtu anakwambia wanaleta maendeleo wakitaka na wasipotaka hakuna cha kuwafanya na huyo mtu bado anadunda tuu mtaani ????😢😢😢😢😢😢
 
Back
Top Bottom