Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airbus 220-300 na sio Airbus 320!.ATCL aina ya Airbus 320
Unatakiwa useme huo utaratibu ambao aukuzingatia sheria.Tatizo ni utaratibu uliotumika kufuta umiliki haukuzingatia mkataba wa mwekezaji na Tanzania. Kumbuka kuwa Magufuli alikuwa na haiba ya kufanya maamuzi ya kibabe. Kwani mwaka 2007/08 alipokamata meli ya uvuvi akiwa Waziri wa uvuvi wewe Mayor Quimby ulikuwa wapi?
Kuna vile vipengere ambavyo Tanzania haiku tekeleza hususan kwenye mazingira, hivyo ikapelekea yeye kutoendeleza hilo shamba.
Lengo la arbitration ni kutafuta neutral hearing ground and in most cases judges are supposed to have previous expertise on the industry kutokana ugumu wa baadhi ya case.Tatizo kwa uongozi wa Magufuli, nikiambiwa kwamba huo mkataba ulivunjwa bila hata kuangalia uvunjaji strategically sitashangaa. Yani kama umevunjwa kwa "amri kutoka juu" tu, sitashangaa.
Na kwa sheria zetu mambo ya ardhi, rais ndiye muhifadhi wa mwisho, kwa hiyo ana haki hiyo, kikatiba.
Lakini, kama mkataba una clause inayosema kwamba kama kuna dispute, arbitration iwe mahakama za kimataifa, na mahakama za kimataifa hazitambui habari za "amri kutoka juu" kutoka serikali ya Tanzania, hapo imekula kwetu.
Tatizo si tu mikataba inavunjwa. Kuna namna ya kuvunja mikataba na kushinda kesi ya arbitration, kwa sababu unavunja mkataba kwa kutumia clauses za mkataba.
Mimi miaka fulani mzee wangu alishiriki kuongoza kutetea kesi moja kubwa sana ya arbitration ya Tanzania London, ni kati ya kesi chache ambazo Tanzania imeshinda arbitration. Alisema hii mikataba ikifikia international arbitration, ni vigumu sana nchi kushinda, kwa wakati huo, ilikuwa kama 9 times out of 10 arbitration za London Court of International Arbitration zinaishia kwa wafanyabiashara kushinda.
Lakini, kwa uvunjaji wa Magufuli ambao sasa kamrithisha Samia habari za "mkitubana kwa sehria za nje, tutawabana kwa sheria za ndani", tunavunja mikataba kijinga.
So, tatizo si tu tunavunja mikataba. Hata tunapovunja mikataba hatuvunji strategically. Inakuwa kama rais anaamini nguvu zake za kikatiba kuwa last custodian of the land zinakubalika mpaka London!
Mimi nafikiri ni wakati sasa wananchi wa Tanzania watumie international arbitration clauses katika mikataba na serikali, kuondokana na usumbufu na uonevu wa maamuzi ya "amri kutoka juu".
Tati,o arbitration process ilitoa nafasi kwa Tanzania, Tanzania haikufuatilia kwa wakati, mpaka mahakama ikaamua.Lengo la arbitration ni kutafuta neutral hearing ground and in most cases judges are supposed to have previous expertise on the industry kutokana ugumu wa baadhi ya case.
Lakini ata huko kwenye arbitration details za contract terms zina apply vilevile kama vile kesi Ingesikilizwa nchi husika; sio kwamba kuna legal definition zao.
Kwa ivyo kama kuna contract dispute ya kulima imefanywa ndani ya Tanzania na statute law inasema raisi ndio custodian wa ardhi mwenye uwezo wa kubadili matumizi yake, that will be considered part of the contract term Kwenye arbitration yoyote duniani regarding that particular case.
Je mwekezaji hana haki ya madai ya hasara baada ya raisi kubadili matumizi ya ardhi, yes lakini sio kwa kiwango icho kwa sababu hakuna chochote alichofanya not mention eneo lenyewe lilikuwa na mgogoro tayari enough reason to terminate its usage kuwaridhisha wenyeji.
Nashaangaa siwaoni akina zito akina lisu Maria wakireact kwenye tweeterEnzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Hii ndio gharama za kutawaliwa na ma- idiots.
Kaka Nani kakuambia tunanadaiwa je umesoma vzr madai ya mswidish au unakurupuka tu hap ilimradi na wew ucommmentDawa ya deni ni kulipa tu, hakuna namna.
Acha waichukue tu hamna Cha maana kwenye Hilo kopo la kibwengoMuwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.
Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya kuzalisha sukari kwaajili ya kuuza nje ya nchi na ethanol ili kuzalishia umeme.
Mradi huo ulipata pingamizi kutoka kwa wanaharakati wa ndani wakiwawakilisha wakulima 1300 ambao bado walikuwa wakitumia ardhi hiyo. Pia muwekezaji huyo aliilaumu Serikali ya Tanzania kushindwa kutengeneza kanuni za sekta ya sukari na kufanya ardhi hiyo kuwa na vikwazo.
Serikali mwaka 2016 ilifuta hati hiyo. Aprili, 2022 Mahakama iliipa ushindi wa tuzo yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 165 Kampuni ya EcoDevelopment. June 16, ikiwa ni siku moja baada ya ICSID kupokea maombi ya Tanzania kubatilisha hukumu hiyo, Ecodevelopment ilipata ruhusa (leave) kutoka kwenye mahakama ya wilaya ya The Hague kutimiza na maamuzi ya upande mmoja kutoka kwa jaji wa Limburg yaliyotoa kibali cha kuishikilia ndege.
Ndege ya Airbus A220 ilikuwa tayari imenyimwa ruhusa ya kupaa tangu Januari kwenye kiwanja cha ndege cha Maastricht Aachen taarifa ikisema ni kutokana na matatizo kwenye injini.
Zaidi, jisomee=> Hapa
==========
A Swedish investor that won a US$165 million award against Tanzania has persuaded a Dutch court to uphold the attachment of an aircraft owned by the east African state, even though ICSID has stayed enforcement pending annulment proceedings.
On 8 November, a preliminary relief judge in the District Court of Limburg refused to lift the attachment granted in favour of Swedish entity EcoDevelopment in Europe.
Tanzania argued the attachment was unlawful because it was obtained a day after the state had applied to ICSID to annul EcoDevelopment’s award. But the judge reasoned that ICSID’s provisional stay of enforcement of the award only took effect on the date that the institution registered the state’s annulment request.
The Swedish company is using Houthoff in the Dutch courts and Mannheimer Swartling in the ICSID proceedings. Tanzania has turned to Buren Legal for the attachment proceedings but has not appointed external counsel in the arbitration or annulment proceedings.
EcoDevelopment, which is owned by 18 Swedish citizens and business leaders, brought its ICSID claim in 2017 under the Sweden-Tanzania bilateral investment treaty.
The dispute concerned abandoned plans to develop a sugar cane project in Bagamoyo on the eastern coast of Tanzania. The project was intended to produce sugar for export as well as ethanol for use in generating electricity.
But the project encountered opposition from local activists on behalf of 1,300 farmers still using the land. The investor also blamed the government for failing to introduce a new sugar industry regulation and provide land free from incumbrance. A new government under President John Magufuli revoked the title to the land in 2016.
In April this year, an ICSID tribunal chaired by the UK’s Sir Christopher Greenwood KC and including Stanimir Alexandrov and Funke Adekoya SAN issued an award in EcoDevelopment’s favour and ordered Tanzania to pay nearly US$165 million.
On 16 June, a day after ICSID received Tanzania’s application to annul the award, EcoDevelopment obtained leave from the District Court of The Hague to pursue enforcement; and an ex parte ruling from the provisional relief judge in Limburg permitting the plane seizure.
The Airbus A220 plane, operated by the state’s flag carrier Air Tanzania, had already been grounded at Maastricht Aachen Airport since January this year, reportedly because of engine problems.
ICSID eventually registered the annulment request on 21 June and notified the parties of the provisional stay of enforcement.
An ICSID ad hoc committee chaired by ex-Milbank partner Michael Nolan and including Carole Malinvaud of Gide Loyrette Nouel and Kenya’s former attorney general Githu Muigai issued a decision in September continuing the stay of enforcement.
Tanzania meanwhile applied to the Limburg court to lift the attachment and prohibit EcoDevelopment from seeking any further attachment based on the ICSID award while the annulment proceedings are pending.
The state argued that the effect of the automatic stay granted by ICSID was that the award was not provisionally enforceable and that the attachment was thus granted unlawfully. It contended that the Dutch courts were bound to recognise the ICSID stay decision as binding.
Tanzania also argued that the attachment had affected its interests in a disproportionately serious way and that as a national government it had sufficient assets within and outside its territory to ensure the award would be paid.
But in this month’s decision, Judge KJH Hoofs said it was not clear from the ICSID Convention when the provisional stay commences. While Christoph Schreuer’s well-known commentary on the convention suggests it takes effect from the date of an annulment application, the judge said ICSID case law suggested it took effect upon the date of its registration by ICSID. The judge therefore concluded that the attachment was lawful.
The judge also said the ad hoc committee’s decision to continue the stay did not affect the attachment, and that Dutch law applied to the execution of the award. She said she could only lift an enforcement order if the executing party had no reasonable interest in using their power of enforcement, which Tanzania had not demonstrated.
She also declined to prohibit further attachments, observing that EcoDevelopment had already stated that it would not sell the aircraft or take further enforcement measures while the annulment proceeding was ongoing.
Earlier this month, the ad hoc committee rejected an unusual attempt by EcoDevelopment to have Tanzania’s annulment request thrown out under ICSID rule 41(5), which allows for expedited dismissal of claims that are manifestly without legal merit. The mechanism is more commonly used in ICSID arbitrations but was invoked by Panama last year in a failed bid to knock out an annulment request by Dominion Minerals.
United Republic of Tanzania v. EcoDevelopment in Europe AB & others (C/03/310349/KG SA 22-395)
In the District Court of Limburg
WEW kummbe kingereza Ina kushida mbna mleta mada ameeleza vzr tu acheni kukurupuka jmn someni Uzi vzr kwa kutuliaJitahidi habari iwe kamili maana ipo nusu na haisemi imekamatwa wapi, kwa kosa gani, hilo deni linatokana na nini?
Mbna majanga jmnMashauri yaliyopo katika hatua za usuluhishi ni:Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania
Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...www.jamiiforums.com
1. Sunlodges v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub.
2. Agro EcoEnergy and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
3. Symbion Power and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
4. Saab v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
5. Winshear v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
6. Nachingwea and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
Kutokana na hali hii, Serikali kupitia kwa Waziri wa Katiba na Sheria inapaswa kutoa taarifa kwa Watanzania kupitia Bunge ili kueleza hatua mbalimbali za mashauri haya, na sababu za kushitakiwa na pengine kiasi cha fidia ambacho tunaweza kulipa endapo tutashindwa.
Tanzania pays treaty award to avoid aircraft seizure ....
Global Arbitration Review
https://globalarbitrationreview.com › ...
Tanzania pays treaty award to avoid aircraft seizure
30 Apr 2021 — Tanzania has paid US$22 million to satisfy an UNCITRAL award after the Italian-owned creditors attempted to
Hao watu wa serikali akili zao huwa zinawatosha wenyewe.Tati,o arbitration process ilitoa nafasi kwa Tanzania, Tanzania haikufuatilia kwa wakati, mpaka mahakama ikaamua.
Pia, maofisa wa serikali wanasema Tanzania ina asset nyingi, inaweza kulipa. Yani hata hawaoni kuwa hili ni tatizo.
Jiwe ndiyo ali sign hiyo mikataba ya Kifisadi!? Au Jiwe ndiyo alikua anajaribu kupambana na hiyo Mikataba yenu ya Kifisadi mliongia Kama vile hakuna kesho tena!!??Mwasisi wa haya yote ni Jiwe