Ndege ya Ukraine iliyobeba silaha yaanguka na kuua wote waliomo "wanasema Ilikuwa inaenda Jordan" ila sisi tushajua😂😂😂😂

Du bora zishambuliwe sio kuiteka Kyive maana vifo vitakuwa vingi.
 
Urusi washirikina sana[emoji41][emoji41][emoji41]


Inabid tumpe dili mchungaj chidy azipigie maomb ndege vita na silaha zisionekane na macho ya husda ya urusi maana hali ishakua tete[emoji41][emoji41][emoji41]
🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏💪🇷🇺💪🇹🇿🇷🇺
 
The world is dying for peace not a WMD showoff
 
unaamin habar za inasemekana na unapinga habar za ukwel , shithole countries
 
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
Mkuu, naona serikali ya Bangladeshi ndo imekurupuka na kujibu kwamba mzigo ulikuwa ukipelekwa kwa matumizi ya jeshi la nchi hiyo.

Hii dunia ina vituko sana.
 
Vijana wa putin wamerejea kazini😂 baada ya likizo ya week moja ya kugawa dozi nene!

Ukraine wajiandae maana kama walifikiri hizo HIMARS zao zitawaokoa muda wa mazishi umewadia.
Hao majamaa ninashaka kama hayatumii mihadarati,SII Kwa kichapo hicho Bado yanakomaa huku wenzao wakikaribia kuingia chumbani mwao🤔
 
Put In mtu mmoja hatari sana🤣🤣🤣 he has all the information
 
Urusi washirikina sana[emoji41][emoji41][emoji41]


Inabid tumpe dili mchungaj chidy azipigie maomb ndege vita na silaha zisionekane na macho ya husda ya urusi maana hali ishakua tete[emoji41][emoji41][emoji41]
Mpelekee mafuta ta Mwamposa😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…