Ndege ya Ukraine iliyobeba silaha yaanguka na kuua wote waliomo "wanasema Ilikuwa inaenda Jordan" ila sisi tushajua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ndege ya Ukraine iliyobeba silaha yaanguka na kuua wote waliomo "wanasema Ilikuwa inaenda Jordan" ila sisi tushajua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wakat west wanapeleka msaada wa silaha sisi tutapeleka msaada wa wese la mwamposa ili kuzilinda[emoji41][emoji41][emoji41]
๐Ÿค๐Ÿป๐Ÿค๐Ÿป๐Ÿค๐Ÿป based on๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป

Isaya 54:17 SUV​

Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA.
 
huon ww ndo kituko hupajui ndege ilipodondoka wala aina ya ndege hujawai iona , ila upo hapa kubisha
Siwelewi ubishi wangu upo wapi hapo.
Nimeeleza kwamba huo mzigo ulikuwa ukienda Bangladesh na serikali ya Bangladesh wamejitokeza na kukiri mzigo ulikuwa ni wao.
Hiyo ni baada ya jitihada nyingi kufanywa kuficha ukweli.
Kama humuelewi mtu anapozungumza kitu ni bora kuomba ufafanuzi badala ya kukimbilia kutapika mapovu.

July 17 (UPI) -- A Ukrainian cargo plane crashed in northern Greece late Saturday while carrying "dangerous cargo" from Serbia bound for Bangladesh. Eight people on board were killed.

The Antonov AN-12 plane took off from an airport in Niลก and was transporting Serbian-made defense products to the Bangladesh Defense Ministry, the customer, when it crashed near Eleftheroupoli in the Kavala region of Greece, Serbian Defense Minister Nebojลกa Stefanoviฤ‡ said in a statement.

Source: UPI
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] based on[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Isaya 54:17 SUV​

Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA.
Nimekupata mchungaj[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom