Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Watalii wawili au wageni wa ccm chama mfu
 
Watalii wawili itakua wamekuja na cargo plane
 
Huyo ndiyo mmoja wa wale wanaoitisha mkutano kuzindua choo cha stendi.
 
Mbona hajavaa baaakoa?? Wageni si watakimbiaaaa
 
Hao mawaziri ilibidi wakabidhi office mapema warudi kwao wakalime
Kinachojitokeza sasa hivi ni kuwa ushamba unapamba moto mjini kwa kasi wakati vijijini wameshtuka.
Sasa ona wote hawa walio JF wakiunga mkono ushamba huu wako mjini na hawashtuki huu ubwege unaofanywa na ccm.
Nakuhakikishia kungekuwa na tumehuru mwaka huu ccm wangeona maajabu ya kutoswa hadi vijijini maana huko wamewashtukia vibaya mno.
 
kama zimo ujue Kuna mtu mwenye nazo.anapokelewa.Ni Nani it is non of your business


Nyie Ma CCM ndio ndiyo too stupid to differentiate between Beberu na mwenye nazo.

Wakiwapinga juu ya ukandamizaji wenu mnawaita mabeberu, wakija na mkwanja mnawapokea kwa heshima zote na unyenyekevu kama mwanamke malay*** anapoona pesa za Mwanamume.

Mkiona pesa tu utu wenu unakwisha kabisa na mnasahau mliyoyasema jana, kuleni matapishi yenu.
 
Ndege ya abiria ya Ethiopia air line yaja na watalii, mbona kiswahili chepesi tu
 
Wewe una facts?
Aliekuambia kuwa mtu huwa ana fact au kumiliki fact ni nani? unaelewa maana ya fact?Unaelewa kuwa fact ni jambo ambalo limethibitishwa kuwa lipo na ni la ukweli na wala hakuna haja ya mtu kuwa nalo au kuliongea ili kuthibitisha uwepo wake?Nikikuita kuwa wewe ni kilaza utanilaumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…