Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mataga mnachekesha kweliNaibu waziri wa afya Dkt. Mollel amesema ameridhishwa na namna Waziri wa Utalii Dkt. Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.
Dkt. Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama zilivyobainishwa katika mwongozo wa Wizara yake. Dkt. Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.
Chanzo: ITV habari!