Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

anafagilia kibarua chake... hali tete.
huyu jamaa akifika August sijui!!
sio kutetea kibrua, kila mtalii ana thamani sawa sawa kwetu hata angekuja mmoja au mia mapokezi yangekuwa ni haohayo na hii ndo maana halisi ya ukarimu wa tanzania, hongera kwako mh. waziri wa utalii.
 
Huu ujinga ulikuwa nao ila akakosekana kiongozi wa kufanya ujinga wako uonekane, au ni ujinga ulioupata baada ya awamu hii kuingia madarakani?
Lofa Tundu Lisu mapokezi yake hewa mlishona Hadi T-shirt za karibu Lisu sembuse mtalii mzungu mwenye pesa mapokezi yanatakiwa kuwa juu kuliko lofa Tundu lisu
 
Naibu waziri wa afya Dr Mollel amesema ameridhishwa na namna waziri wa Utalii Dr Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.

Dr Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama xilivyobainishwa katika mwongozo wa wizara yake.
Dr Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.

Source ITV habari!

Hivi huu ujinga wa sasa hivi wanaccm walikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kufanya huo ujinga uonekane, au huu ujinga ndio umeanza sasa?
 
Mwaka huu wasitegemee watalii wengi sababu ya korona .Kwanza Mashirika Mengi ya ndege bado kuanza safari nyingi za kimataifa .Kitu kingine ni watalii wenyewe kuhairisha safari sababu ya corona,wengi wao walifanya booking kipindi cha January ,lakini upepo wa corona umewafanya wahairishe, sio vizuri unakuja kutalii halafu ukirudi kwanu unawekwa karantini
 
Lofa Tundu Lisu mapokezi yake hewa mlishona Hadi T-shirt za karibu Lisu sembuse mtalii mzungu mwenye pesa mapokezi yanatakiwa kuwa juu kuliko lofa Tundu lisu

Lisu alikuwa anarudi nyumbani, huyo mzungu ni mkazi wa kijiji gani hapa nchini?
 
Sasa kama bosi anaenda na baraza zima la mawaziri na jopo la viongozi kibao kwenda airport kupokea kandege kamoja
Wenye pesa wanaingia mapokezi ya mwenye pesa tofauti na lofa.

Lowasa alikuja na kagari kamoja tu chadema mapokezi yake umati wa chadema ulizimia mabarabarani wakawa wanadeki Hadi barabara kukapokea kagari kamoja alikopanda Lowasa au mumesahau? Mapokezi ya mwenye pesa Lowasa chadema? Kweli nyani haoni ..........
 
Naibu waziri wa afya Dr Mollel amesema ameridhishwa na namna waziri wa Utalii Dr Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.

Dr Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama xilivyobainishwa katika mwongozo wa wizara yake.
Dr Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.

Source ITV habari!
Haka kajamaa hivi huwa zianamtosha na kale kakichwa kake?
 
Huyo basi bilionea ndege lote mtu mmoja .kuna watu wazito mtu mmoja anakuwa mzito bilionea mwenye pesa

Mfano Bill gates peke yake akija unataka apokelelewaje.Chadema akili hamna sio kila mtu ana hadhi sawa na nyie


Haya tuambie huyo ni tajiri au Celeb, gani, anaitwa nani, katoka nchi gani??--- CCM taabu kweli!!!--- aliyekuwa mwenyekiti wenu alishawaambia; Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Hivyo naibu waziri wa wizara ya Afya alikuwa anamkagua waziri wa wizara ya Utalii?
Ushamba mtupu.
Serikali ya kishamba.
 
Inaonekana huijui vema hiyo sekta
Mtalli mmoja tu anaweza kuja kulala chumba cha dola elf kumi kwa siku,akakaa siku 7,bado hajalipa kuuwa wanyama pori n.k,
Inategemea na hadhi ya mtalii,kuna viongozi wastaafu huko duniani,wafalme watoto wa wafalme na wafanya biashara wakubwa tu
Romam Abramovich alikuja na wasaidizi 45

Kwa hiyo ndio apokelewe na waziri hata kama ana pesa? Ujinga hata uufiche vipi haiwezekani ufichike.
 
Nje ya mada; huyo Godwin Mollel ana bad looking mno! Sura yake imejaa dalili za unyafuzi.
Tanzania imebadirika.. vijana wanachapa kazi.
Leo wakati dunia bado haijaamka kuna watalio wawili ambao wanaonekana kwenye picha wamepokelewa na waziri wa utalii.

Hii ji heshima kubwa sana kwa watalii wetu.. na waziri kingwangala ameonyesha kwamba yeye ni mtu wa kazi na si mtu wa cheo na kuletewa chai ofisini.


Big up bro.View attachment 1466999
 
Back
Top Bottom