Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Tanzania imebadirika.. vijana wanachapa kazi.
Leo wakati dunia bado haijaamka kuna watalio wawili ambao wanaonekana kwenye picha wamepokelewa na waziri wa utalii.

Hii ji heshima kubwa sana kwa watalii wetu.. na waziri kingwangala ameonyesha kwamba yeye ni mtu wa kazi na si mtu wa cheo na kuletewa chai ofisini.

Big up bro.View attachment 1466999

Wewe umeongeza chumvi, sio watalii wawili ni mtalii mmoja tu.

ain't two tourists but just one.
 
Kigwangala anahaha! Kulazimisha kutafuta watalii kwenye dunia ya Corona inahitaji moyo!
 
Rais, Mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya ndivyo wanatakiwa kutufanyia kazi, wanatakiwa kila waziri afanyekazi kwa vitendo sio kutishia na kuwakamata watu tu. ukiangalia mawaziri wengi wanatutumikisha badala ya kututumikia.

kama ni hatua endelevu sio maigizo ni vzr, mawaziri wengi wanaota vitambi kwa sababu ya kutokuwa field muda mwingi wanabweteka na kujisahau mpaka wanatumbuliwa bora utumbuliwe ukiwa kazini.
 
Tanzania imebadirika.. vijana wanachapa kazi.
Leo wakati dunia bado haijaamka kuna watalio wawili ambao wanaonekana kwenye picha wamepokelewa na waziri wa utalii.

Hii ji heshima kubwa sana kwa watalii wetu.. na waziri kingwangala ameonyesha kwamba yeye ni mtu wa kazi na si mtu wa cheo na kuletewa chai ofisini.

Big up bro.View attachment 1466999
Mwanzo mgumu
 
anafagilia kibarua chake... hali tete.
huyu jamaa akifika August sijui!!
 
Sasa kama bosi anaenda na baraza zima la mawaziri na jopo la viongozi kibao kwenda airport kupokea kandege kamoja

Sasa kigwangara yeye ni nani mpaka ashindwe kupanga foleni kusubiri watalii wawili?
 
Back
Top Bottom