Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

CCM ni waongo sana
#AVIATION – Projected airport reopening dates across the world

World Airports opening dates [emoji927][emoji929][emoji928][emoji574]

1. Lebanon [emoji1146] July 15, 2020
2. Bahrain [emoji1041] June 10, 2020
3. Qatar [emoji1203] June 10, 2020
4. Jordan [emoji1137] July 15, 2020
5. Iraq [emoji1131] (Air Corridor) August 1, 2020
6. Iran [emoji1130] August 1
7. Egypt [emoji1093] August 1
8. Saudi Arabia [emoji1210] August 1, 2020
9. Tunisia [emoji1249] August 1
10. sweat Baghdad [emoji1131] first of August month
11. Japan [emoji627] June 15, 2020
12. Northern Macedonia [emoji1154] June 15, 2020
13. Lithuania [emoji1151] June 15, 2020
14. Hungary [emoji1126] June 15, 2020
15. Poland [emoji1200] June 15, 2020
16. Romania [emoji1205] June 15, 2020
17. Serbia [emoji1212] June 15, 2020
18. Netherlands [emoji1179] June 20, 2020
19. Kazakhstan [emoji1138] June 20, 2020
20. Albania [emoji1025] June 22, 2020
21. Bosnia and Herzegovina [emoji1051] June 22, 2020
22. Denmark [emoji1087] June 22, 2020
23. Estonia [emoji1097] June 22, 2020
24. Finland [emoji1103] June 22, 2020
25. South Korea [emoji2406] June 22, 2020
26. Ireland [emoji1132] June 22, 2020
27. Kyrgyzstan [emoji1143] June 22, 2020
28. Latvia [emoji1145] June 22, 2020
29. Norway [emoji1189] June 22, 2020
30. Slovakia [emoji1217] June 22, 2020
31. Australia [emoji1037] July 1, 2020
32. Belgium [emoji1045] July 1, 2020
33. Belarus [emoji1044] July 1, 2020
34. China [emoji630] (Beijing only) July 1, 2020
35. Sweden [emoji1236] July 1, 2020
36. Canada [emoji1063] July 1, 2020
37. Colombia [emoji1075] July 1, 2020
38. Kosovo [emoji1141] July 1, 2020
39. Malaysia [emoji1157] July 1, 2020
40. Moldova [emoji1168] July 1, 2020
41. Uzbekistan [emoji1260] July 1, 2020
42. Republic of Taiwan [emoji1239] July 1, 2020
43. Turkmenistan [emoji1251] July 1, 2020
44. Ukraine [emoji1255] July 1, 2020
45. Indonesia [emoji1129] July 10, 2020
46. India [emoji1128] July 10, 2020
47. Pakistan [emoji1191] July 10, 2020
48. Algeria [emoji1026] July 15, 2020
49. Morocco [emoji1173] July 15, 2020
50. Philippines [emoji1198] July 15, 2020
51. South Africa [emoji1221] July 15, 2020
52. Georgia [emoji1109] (only for Georgia City) July 15, 2020
53. UK [emoji636] July 15, 2020
55. Kuwait [emoji1142] July 15, 2020
56. Libya [emoji1149] July 15, 2020
57. Cyprus (Turkish side) June 1, 2020
58. Russia [emoji635] July 15, 2020
59. Bulgaria [emoji1058] June 10, 2020
60. Brazil [emoji1054] August 1
61. Armenia [emoji1034] August 1, 2020
62. France [emoji632] August 1
63. Greece [emoji1112] June 10, 2020
64. Germany [emoji629] June 15, 2020
65. Spain [emoji633] August 1
66. Italy [emoji634] August 1
67. Austria [emoji1038] June 15, 2020
68. Azerbaijan [emoji1039] June 15, 2020
69. Czech Republic [emoji1086] June 15, 2020
70. USA [emoji631] September 1, 20
71. Switzerland [emoji1237] June 15, 2020
72-UAE first flight to Beirut airport on 1 / 7
 
Ndege ya kwanza tena wakati tulishatangaziwa ndege nyingine ya kwanza?[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Sina ndugu,rafiki wala jirani ambaye amaekufa kwa corona hata kuona mpita njia kaanguka bado,pia nimeuliza ndugu jamaa na marafiki zaidi ya 9,nao pia hawajaona,sasa hebu nipe sababu ya kupendekeza lockdown?
Maskini mahiga!
 
TBC mumeniangusha Hilo tukio lilikuwa la kuonyesha ujio.wa ndege na watalii au wa kuonesha sura ya mtanagazaji mukama?

Ndege hamjaionyesha vizuri Wala watalii mumekomalia kuonyesha sura ya mtanagazaji tu

Huyo camera man wenu pia yuko hovyo alitakiwa kamera aelekeze kule iliko ndege watu waone vizuri tukio la ndege kuwasili,ilivypmwagiwa maji na wTalii walivyokuwa wakishuka no
Yaani tukio la kupokea ndege mumegeuza la kumuonyesha mtangazaji wenu

Sisi tulikuwa tunataka kuangalia tulip mzima la ujaji ndege na watalii sio kumwangalia mtangazaji wenu yeye hakutakiwa kuwa main character .main character ilitakiwa kuwa hiyo ndege na watalii na camera zilitakiwa kuelekezwa kule

Rudieni kuangalia hiyo.clip muone mulivyovurunda
 
Kwa ivyo ukiniuliza kitu ambacho sijakielizea natakiwa nikujibu nini? Si useme ulivyoolewa wewe kwanza.
Mbona unazunguka sana!! Si ueleze tu ulichomaanisha aya ya mwisho.Au umeandika usichoelewa
 
Mbona unazunguka sana!! Si ueleze tu ulichomaanisha aya ya mwisho.Au umeandika usichoelewa
Niogope nini sasa? Ushawai kuona post yangu ata siku moja inayoshabikia mtu kuonewa wa chama chohote, kushabikia madhara ya kitaifa ambayo yanamwathiri mtu maskini zaidi, kupinga kujudi za maendeleo; etc with responsible politics.

Kilichopo ni upuuzi kichwani kwako tu let’s assume nimesema nchi iwekewe sanction so what?
 
Duh ..pole mwanangu...una umri gani...ulishawahi kuwaambia wazazi wako kwa maana ya baba na mama maneno uliyoandika hapa?! Kama bado ni vema ungeanza kuwaambia wao kwanza uone itakavyokuwa.....halafu, hivi kulikuwa na ulazima wa wewe kuandika hivyo?! Una mfadhaiko wa akili bila Shaka...
Unaomba msamaha kimtindo! Wazazi wanaingiaje kwenye hoja hii? Wewe wazazi wako ulishawaambia jinsi unavyowakosea wazazi wa wenzako adabu? Kawaeleze Leo kuwa Kuna mzee yupo jf nimemkosea Sana leo kwa kuponzwa na vijisenti vya bando ninavyolipwa na polepole baada ya kuwajibu shit baadhi ya watu!
Vyeo havitafutwi kwa kuwatukana wengine na kujipendekeza Bali kwa maarifa na akili! Wapi musiba????? Uwe na nidhamu!
 
Kwa waliokaribu na TV tune in TBC 1

======



Ndege ya kwanza ya watalii imewasili nchini ikiwa ni baada ya Rais John Magufuli kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini baada ya kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania.

Tarehe 20, Mei 2020, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB Devota Mdachi aliahidi ya kuwa mwishoni mwa Mei ndege ya kwanza ingetua nchini.

Waziri Kigwangala

“Tuna matarajio makubwa kuwa sekta ya utalii na usafiri wa anga itafunguka vizuri kadiri tunavyoelekea”

“Hii ni ndege ya kwanza ya abiria ni ya Ethiopian Airlines, marafiki zetu.”

“Kwa kuanzia Ethiopian Airlines watatua Jumatatu, Alhamis na Jumamosi kwa ndege za abiria. Watatua hapa lakini pia Zanzibar. Kwa sasa wameshusha abiria na mizigo Zanzibar wanashusha na hapa Kilimanjaro, wanaenda Addis na nchi nyingine”

“Kwa siku tano za wiki tutakuwa na ndege zinazotua nchini, lakini zinazotuhusu zaidi watu wa utalii zitatua kwa siku tatu -- Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi -- ambazo purely ni ndege za abiria wote lakini kwa kiasi kikubwa tunatarajia itakuwa ni watalii”

“Dunia inajifunza namna ya kupambana na janga zito kama hili la mlipuko wa Covid 19 bila kufunga shughuli za kiuchumi na maisha ya watu”

Tumejipanga vizuri na tuna uhakika kutakuwa na usalama wa wageni na wahudumu. Tumefanya ziara ya kukagua mifumo na tumejiridhisha kwamba

Naibu Waziri wa Afya, Dr Godwin Mollel

“Ndani ya nchi maambukizi ya Corona kila siku yanapungu, hii ni kumaanisha kuwa kuna mabo yanafanyika”

“Tumehakikisha kuwa miongozo ya Shirika la Afya Duniani na Wizara ya Afya imefuatwa katika kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19”

Meneja Uwanja wa KIA

“Tupo tayari kuipokea kuutangazia dunia kuwa tupo tayari kupokea wageni.”

“Leo tumefurahi kuona tumepokea ndege ya kwanza”

“Kabla ya corona tulikuwa tunapokea abiria wengi sana. Mwaka jana tulikuwa na abiria 28,000 kwa mwezi na hadi kufikia kipindi cha Corona tulikuwa na wastani wa abiria 19,000”

“Tumejipanga vizuri kuwalinda wageni na wageni dhidi ya Covid 19”

Kwa hyo ile iliyorushwa kama siku 10 zilizopita ni kweli ilikuwa uongo?
 
Du ukisikia kufilisika ndiyo huku. Awamu zote watalii wanakuja lakini awamu hii kuja kwa watalii imekuwa ni habari kubwa kabisa. Ukweli ni kwamba itachukuwa muda mrefu ili hali irudie kama zamani. Nchi kama Thailand zinazoongoza kwa utalii mpaka sasa hali siyo nzuri halafu waje huku ambako takwimu zinafichwa? Watalii 200 ni wachache sana na itachukuwa muda hali ya zamani kurudi.
Yaani Hii serikali ni full propaganda.. mbwembwe zoteeee za ngoma za nini utadhani ndio ndege ya kwanza kuwahi kutua ardhi ya tz
 
Yaani Hii serikali ni full propaganda.. mbwembwe zoteeee za ngoma za nini utadhani ndio ndege ya kwanza kuwahi kutua ardhi ya tz
Walivyofika bila kuwekwa live mlisema why haikuwa live..imewekwa live mnauliza why imewekwa live..CHADEMA mnashinda sana
 
Hii nchi ya washamba Sana ndege imeleta abiria ndo watalii kwaio kila ndege itakayotua now ni watalii ? Ccm mnatia aibu Sana awamu hii
 
Nonsense
Kwa mustakabali na maslai mapana ya Taifa letu John Pombe Joseph Magufuli, haifai kupewa hata dakika moja, au nafasi nyingine ya kuongoza taifa letu, ametutia aibu Sana , ameturudisha nyuma Kama taifa kwa miaka zaida ya 10, hasara aliyotupa wajukuu zetu hawataweza kulipa
 
Niogope nini sasa? Ushawai kuona post yangu ata siku moja inayoshabikia mtu kuonewa wa chama chohote, kushabikia madhara ya kitaifa ambayo yanamwathiri mtu maskini zaidi, kupinga kujudi za maendeleo; etc with responsible politics.

Kilichopo ni upuuzi kichwani kwako tu let’s assume nimesema nchi iwekewe sanction so what?
I can see you're beating around the bush now! Enjoy ur day!
 
Back
Top Bottom