Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Sio wawili
Watalii 2?[emoji16][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watalii 2?[emoji16][emoji23][emoji23]
Watalii wawili au wageni wa ccm chama mfuTanzania imebadirika.. vijana wanachapa kazi.
Leo wakati dunia bado haijaamka kuna watalio wawili ambao wanaonekana kwenye picha wamepokelewa na waziri wa utalii.
Hii ji heshima kubwa sana kwa watalii wetu.. na waziri kingwangala ameonyesha kwamba yeye ni mtu wa kazi na si mtu wa cheo na kuletewa chai ofisini.
Big up bro.View attachment 1466999
Watalii wawili itakua wamekuja na cargo planeNaibu waziri wa afya Dkt. Mollel amesema ameridhishwa na namna Waziri wa Utalii Dkt. Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.
Dkt. Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama zilivyobainishwa katika mwongozo wa Wizara yake. Dkt. Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.
Chanzo: ITV habari!
Kinachojitokeza sasa hivi ni kuwa ushamba unapamba moto mjini kwa kasi wakati vijijini wameshtuka.Hao mawaziri ilibidi wakabidhi office mapema warudi kwao wakalime
kama zimo ujue Kuna mtu mwenye nazo.anapokelewa.Ni Nani it is non of your business
Watu wanahoji kama hii ndio ya kwanza,je ile iliyotua KIA na mkasema ya matajiri wale walikuwa ni MAJAMBAZI?Ndege ya kwanza ya watalii
Unaelewa tofauti ya kupinga na kuongea fact?Mnajulikana nyie ni wapingaji.
Wewe una facts?Unaelewa tofauti ya kupinga na kuongea fact?
alipokuwa chadema mlimwona mrembo chadema wajinga kweliNje ya mada; huyo Godwin Mollel ana bad looking mno! Sura yake imejaa dalili za unyafuzi.
We were almost 140 from different countries of Europe and North America
Sisi hatuaangalii sura. Tunaangalia uzalendo wake.alipokuwa chadema mlimwona mrembo chadema wajinga kweli
Aliekuambia kuwa mtu huwa ana fact au kumiliki fact ni nani? unaelewa maana ya fact?Unaelewa kuwa fact ni jambo ambalo limethibitishwa kuwa lipo na ni la ukweli na wala hakuna haja ya mtu kuwa nalo au kuliongea ili kuthibitisha uwepo wake?Nikikuita kuwa wewe ni kilaza utanilaumu?Wewe una facts?
Muktadha huo huo wa utalii maana walisema watalii matajiri walikuja na private JET.Inategemeana na ya kwanza kwa context ipi...