Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

Baada ya ndege kutua ilitakiwa na yeye kuahushwa hapo hapo asiondoke na hiyo ndege
 
Yaani mtu anaporaka kufanya ushetani, anamtaja Allah. Huyo Allah ni nani? Mungu ni wa upendo, ni wa msamaha, ni wa huruma. Sasa huyo Allah anayetajwa mtu anapofanya uharamia wa hali ya juu, ndiye nani? Maana hawezi kuwa ni Mungu yule wa hekima, Mungu wa msamaha na upendo!
 
Adhana hutaja jina la Allah mara nyingi,na adhana hupigwa huko marekani na ulaya kila siku na watu hawakimbii
 
Duuh! Alah amezua taharuki. Watu wameshtukia kwamba allah ndio mnywa damu za watu
 
Uislam ni shida tupu.
 
Adhana hutaja jina la Allah mara nyingi,na adhana hupigwa huko marekani na ulaya kila siku na watu hawakimbii
Em fahamu kutofautisha mambo, ukiwa msikitini kwenu ukisema Allah akibaru hakuna shida ila neno hilo hilo ukilisema kwenye uneo la umma lenye mchanganyiko wa imani ni lazima italeta shida.
 
Cha kustahajabisha hao hao waingereza wamewakaribisha watu kutoja mataifa ya kiislamu kwa wingi sana kiasi kwamba wengine wameshika nafasi nyeti kwenye serikali yao... sasa kama wanawaogopa waislamu kiasi hiki wanaishi nao wa nini???
 
Tatizo wamelichafua jina linaonekana la aovu.
 
Em fahamu kutofautisha mambo, ukiwa msikitini kwenu ukisema Allah akibaru hakuna shida ila neno hilo hilo ukilisema kwenye uneo la umma lenye mchanganyiko wa imani ni lazima italeta shida.
Speaker mawimbi yake hufika mtaani
 
Wazungu hawana habari ngozi nyingine ikifa. Ila ni waoga wa KIFO BALAA!
πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜­
 
Speaker mawimbi yake hufika mtaani
Inaeleweka hiyo ni adhana hakuna mtu atatishika. Lakini ikitokea ndani ya ndege tena iko angani ni lazima italeta taharuki hasa baada ya yale yaliyotokea September 11 mwaka 2001.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…