Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!
*********** **************
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.