Kwani safari za ndege hizo ni A kawaida na watalii wanakaa hotel Zanzibar Asubuhi wanachukua ndege na kwenda kwenye Mbuga za wanyama.moja kwa moja na ipo kwa mbuga zote lakini kwa ujinga wako ndiyo unqtaka kuanzisha taharuki kuwapata wajinga wenzio.. Ukienda uwanja wa ndege wa Nungwi hizo ndiyo trip zake kila siku na chache huindika airport ya Abeid Karume.Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!