saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Inakuhus nini kafanye mambo yako, unajipa majukumu yasiyokuhusu na usiyoyaweza kwanini. Mtu mzima umejaa umbea bila haya?Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!
*********** **************
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836
Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.