Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!

*********** **************
Update

Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836

Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Huna akili wewe
 
Mbona almost precision air zote hazina transponder, inaweza kuwa ni old airplane au vile vidogo ambavo havina transponder

Ndege haina transponder? Man it doesnt work that way. Regulation zina recommend ndege kuwa na transponder full time
 
Kwani safari za ndege hizo ni A kawaida na watalii wanakaa hotel Zanzibar Asubuhi wanachukua ndege na kwenda kwenye Mbuga za wanyama.moja kwa moja na ipo kwa mbuga zote lakini kwa ujinga wako ndiyo unqtaka kuanzisha taharuki kuwapata wajinga wenzio.. Ukienda uwanja wa ndege wa Nungwi hizo ndiyo trip zake kila siku na chache huindika airport ya Abeid Karume.
Swali lilikuwa ni kwa nini ilizima transponder.
 
Inawezekana ni mavuno wanyama hai kule walikofurushwa masai kwa ajili ya kwenda kutekeleza ibada ya kuchinja au kuendeleza ile Dubai National Park, sukuma twende.
 
Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!

*********** **************
Update

Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836

Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Hiv kilichotokea Niger hakiwezi tokea hapa?
 
Back
Top Bottom