dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
bashiru na wenzake waliposema hafai ilionekana kama ni ukorofi, lakn muda ume-prove walikua sahihi..........Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!
*********** **************
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836
Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
walaumiwe waliowapinga kina bushiru