Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!

*********** **************
Update

Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836

Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Baada ya Chato hizi ni siku za wazanzibari.
 
Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!

*********** **************
Update

Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836

Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Munvu akubariki sana kwa hii taarifa.
Tunaiweka ktk maombi yetu na kilio kwenda kwa Mungu
 
Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!

*********** **************
Update

Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836

Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Naona sasa mmekosa mchango wa kutoa imebaki kuangalia na kuhesabu ndege zinazoruka pole sana
 
Tangu lini hapa nchini kuna utaratibu wa watu kuambiwa kila ndege inayoingia na kutoka?

Hujui kuwa ndege zinabeba abiria na nyingine mahitaji? Hujui kwenye national parks/ game reserves kuna airstrips zinazo accommodate ndege kwa shughuli za utalii na kupeleka mahitaji?

Yaani wewe na wanaokuunga mkono humu wote ni vilaza. Mnajadili mambo yanayoonesha mna upeo mdogo sana wa uelewa wa mambo?
 
Ni ushamba wa kujua kuangalia flight radar imekua kero yani hatupumui
 
Hapo wa kulaumu ni Watanganyika wenzetu inakuwaje Mzanzibar mmoja awapelekeshe na kufanya atakavyo ikiwemo hilo la kuiba maliasili zetu toka mbugani na wao wakakubali tu kama makondoo! Naona wabaya ni Watanganyika wenzetu ambao wanashirikiana naye lakini jumba bovu wanamwangushia Mzanzibar.
 
Back
Top Bottom