Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya Chato hizi ni siku za wazanzibari.Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!
*********** **************
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836
Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Jitahidi upate matibabuWewe unamuita mnafiki wakati mwenzako analilia kuhiji kwenye kaburi lake, ha ha ha kazi unayo[emoji1787]
Munvu akubariki sana kwa hii taarifa.Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!
*********** **************
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836
Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Naona sasa mmekosa mchango wa kutoa imebaki kuangalia na kuhesabu ndege zinazoruka pole sanaNdege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah!
*********** **************
Update
Ndege imetoka Zanzibar sasa! Bado haijajulika inaenda wapi kwasasa
View attachment 2704836
Ndege imepotea kwenye Radar mara baada ya kufika maeneo hayo.
Hakuna mbuga za wanyama.Hivi zanzibar kuna mbuga za wanyama?
Inaonyesha wewe hata huo usajili wa ndege huufahamu hiyo ndege ina usajili wa Tanzania ambao ni 5HHiyo ndege ukiangalia usajili wake inaonesha haijasajiliwa Tanzania
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu ushamba mzigo. Tupeleke watoto wetu nje wapate exposure. Jf imekuwa kituko nowdaysTangu mjuwe kuangalia flight radar imekua kero sana humu mitandaoni.
Ni ushamba wa kujua kuangalia flight radar imekua kero yani hatupumuiTangu lini hapa nchini kuna utaratibu wa watu kuambiwa kila ndege inayoingia na kutoka?
Hujui kuwa ndege zinabeba abiria na nyingine mahitaji? Hujui kwenye national parks/ game reserves kuna airstrips zinazo accommodate ndege kwa shughuli za utalii na kupeleka mahitaji?
Yaani wewe na wanaokuunga mkono humu wote ni vilaza. Mnajadili mambo yanayoonesha mna upeo mdogo sana wa uelewa wa mambo?
ATR nyingi, Cessina nyingi hazina Transponder hivyo ngumu kuziona kwenye hiyo platformMbona almost precision air zote hazina transponder, inaweza kuwa ni old airplane au vile vidogo ambavo havina transponder
Cessina 152,172,180 huwa hazina transponder ila zinaonekana kwenye radarMimi nilidhani ndege zote zina transponder isipokuwa tu ni either rubani anaamua kuiweka on or off..
Sheria za aviation za Marekani ni kuwa transponder zote lazima ziwe on during the flight.