Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

bashiru na wenzake waliposema hafai ilionekana kama ni ukorofi, lakn muda ume-prove walikua sahihi..........
walaumiwe waliowapinga kina bushiru
 
Kuna ndege imetua uwanja wa ndege Bwagamoyo kwenye nyasi, Leo siku ya pili haijaondoka isijekuwa ndo sampuli hiyooeee
 
inabeba simba mtoto labda haha,
wabongo kudanganywa ni simple sana
 
Mbona almost precision air zote hazina transponder, inaweza kuwa ni old airplane au vile vidogo ambavo havina transponder
niliwahi uliza watalaamu wanasema ndege za atr za old model kama zinazotumiwa precision zinatumia ELT au emergence locator transmitter ndio maana hazionekani sana kwenye flightradar. Ila kwenye radar zinaonekana na air traffic controller ku monitor air traffic
 
Hakika mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, anawapeleka nyumbu na mateka wao wachache si mchezo..........wamefadhaika, wamepagawa, wanahaha baada ya kupata mhaho, wanabwabwaja hovyo hovyo wasijue hata wanabwabwajia kitu gani.
 
 

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    18.3 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…