Ndege za ATCL zarudishwa uwanja wa ndege Chato, harusi ya tajiri wa Katoro yatajwa

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Kampuni ya ndege ya Tanzania Atcl imeanza tena ruti ya ndege Dar-Chato-Mwanza baada ya kusitishwa kwa muda mrefu baada ya kifo cha Rais Magufuli na ikasemekana kuwa uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuanika dagaa na mpunga!.

Kufungwa kwa uwanja huo ilikuwa ni moja ya project za kuangusha na kuuwa kabisa legacy ya Rais Magufuli kwa nhi ya Tanzania lakini ikashindikana.!!!

Harusi ya tajiri wa Katoro imewafumbua watu macho kwamba Chato kuna watu wenye pesa wanahitaji usafiri wa ndege kwa wingi.

Mpaka sasa imethibitika kuwa hamna project iliyofanywa na Magufuli kwa masilahi yake mwenyewe na familia yake.
 
Harusi ya tajiri wa katoro imewafumbua watu macho kwamba Chato kuna watu wenye pesa wanahitaji usafiri wa ndege kwa wingi.
Mpaka sasa imethibitika kuwa hamna project iliyofanywa na Magufuli kwa masilahi yake mwenyewe na familia yake.
Inaonekana wazi kuwa Magufuli alijenga uwanja wa Chato kwa ajili yake binafsi ndio maana baada ya kufa na matumizi ya uwanja huo yakafa pia.
 
Kampuni ya ndege ya Tanzania Atcl imeanza tena ruti ya ndege Dar-Chato-Mwanza baada ya kusitishwa kwa muda mrefu baada ya kifo cha Rais Magufuli na ikasemekana kuwa uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuanika dagaa na mpunga!.

Kufungwa kwa uwanja huo ilikuwa ni moja ya project za kuangusha na kuuwa kabisa legacy ya Rais Magufuli kwa nhi ya Tanzania lakini ikashindikana.!!!

Harusi ya tajiri wa Katoro imewafumbua watu macho kwamba Chato kuna watu wenye pesa wanahitaji usafiri wa ndege kwa wingi.

Mpaka sasa imethibitika kuwa hamna project iliyofanywa na Magufuli kwa masilahi yake mwenyewe na familia yake.
Bado ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ilikuwa ni misuse ya resources na upumbavu mkubwa.

Misukule ya Magufuli ina justify uwepo wa uwanja kwa ajili ya harusi moja iliyokea baada ya miaka 5. Pumbavu sana Etwege
 
Dah mi naomba hii iwe endelevu make watanirahisishia sana safari za kwenda home kumuona Mama.
 
Back
Top Bottom