Ndege za ATCL zarudishwa uwanja wa ndege Chato, harusi ya tajiri wa Katoro yatajwa

Ndege za ATCL zarudishwa uwanja wa ndege Chato, harusi ya tajiri wa Katoro yatajwa

Chezea wasukuma utalala na nguzi matakoni 🤣🤣🤣Malaya wote macho kanda ya ziwa
 
Waweke nauli rafiki sio hizi watapata abiria wengi sio wanaweka bei kubwa sana harafu ndege inaenda na abiria wachache mwisho wa siku wanatangaza hasara.
Kwenye nauli kamwe hawawezi kuweka nauli ndogo nafikiri kutokana na kutokuwa na ushindani wa kutosha
 
Back
Top Bottom