Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,105
- 20,307
- Thread starter
- #21
SawaMimi niliunga mkono ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato ila pia nikatoa na angalizo fulani Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
Hilo angalizo ndicho kilichokuja kutokea!
Kiukweli I was far ahead of time!.
P