Inaonekana wazi kuwa Magufuli alijenga uwanja wa Chato kwa ajili yake binafsi ndio maana baada ya kufa na matumizi ya uwanja huo yakafa pia.Kampuni ya ndege ya Tanzania Atcl imeanza tena ruti ya ndege Dar-Chato-Mwanza baada ya kusitishwa kwa muda mrefu baada ya kifo cha Rais Magufuli na ikasemekana kuwa uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuanika dagaa na mpunga!.
Kufungwa kwa uwanja huo ilikuwa ni moja ya project za kuangusha na kuuwa kabisa legacy ya Rais Magufuli kwa nhi ya Tanzania lakini ikashindikana.!!!
Harusi ya tajiri wa katoro imewafumbua watu macho kwamba Chato kuna watu wenye pesa wanahitaji usafiri wa ndege kwa wingi.
Mpaka sasa imethibitika kuwa hamna project iliyofanywa na Magufuli kwa masilahi yake mwenyewe na familia yake.
Sio mara ya kwanza wanarudisha na kuondoa, kwenye siku ya kumbukumbu ya Magufuli ndio kuna ndege moja mbili zinakwenda basi.Na sasa hivi wamezirudisha ndege wa chato ili iweje?
CHATO MBELEHahaha Chato will never die
Kama haitalipa wataondoa tu ndio biashara zilivyoKwa hiyo tutarajie wataziondoa lini?
Bado ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ilikuwa ni misuse ya resources na upumbavu mkubwa.Kampuni ya ndege ya Tanzania Atcl imeanza tena ruti ya ndege Dar-Chato-Mwanza baada ya kusitishwa kwa muda mrefu baada ya kifo cha Rais Magufuli na ikasemekana kuwa uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuanika dagaa na mpunga!.
Kufungwa kwa uwanja huo ilikuwa ni moja ya project za kuangusha na kuuwa kabisa legacy ya Rais Magufuli kwa nhi ya Tanzania lakini ikashindikana.!!!
Harusi ya tajiri wa Katoro imewafumbua watu macho kwamba Chato kuna watu wenye pesa wanahitaji usafiri wa ndege kwa wingi.
Mpaka sasa imethibitika kuwa hamna project iliyofanywa na Magufuli kwa masilahi yake mwenyewe na familia yake.
Na Arusha-Mbeya sio mtu anataka kwenda Mby apitie daslm mambo ya zamani sana haya.Tunahitaji route ya Dodoma - Arusha.
Mimi niliunga mkono ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato ila pia nikatoa na angalizo fulani Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!Mpaka sasa imethibitika kuwa hamna project iliyofanywa na Magufuli kwa masilahi yake mwenyewe na familia yake.