SawaMimi niliunga mkono ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato ila pia nikatoa na angalizo fulani Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
Hilo angalizo ndicho kilichokuja kutokea!
Kiukweli I was far ahead of time!.
P
Hakuna mwenye ubavu huo!Kwa hiyo kifupi kabisa tuseme jaribio la kufuta legacy ya marehemu Magu limefeli vibaya sana, si ndiyo?
Utafikiri mtu anakwenda abroad?Na Arusha-Mbeya sio mtu anataka kwenda Mby apitie daslm mambo ya zamani sana haya.
Na ukikata route hiyo nauli yake inakua kubwa sana aisee kama unaenda nje kweli..Utafikiri mtu anakwenda abroad?
Hao abiria watapatikana kuanzisha ruti sio mchezo mchezo wanaweza wakawa wanapata hasara wakijitahidi sana break evenNa Arusha-Mbeya sio mtu anataka kwenda Mby apitie daslm mambo ya zamani sana haya.
😀 connections kibaoUtafikiri mtu anakwenda abroad?
Kuna moja hiyo unatoka dodoma asubuhi unafika arusha saa tano usiku.😀 connections kibao
😀 😀 hiyo kali bora uchukue bus tuKuna moja hiyo unatoka dodoma asubuhi unafika arusha saa tano usiku.
Utahira ni kitu kibaya sanaEnzi za magufuli wewe, johnthepaptist, UCD, jinga lao, the tallest, kawe alumni, simiyu yetu, idugunde Mr chopper mlikuwa mkikataga mauno balaa korido za lumumba. Sasa hivi mmefukuzwa yamebaki ma mbwigwa yaliyokubuhu Tlaatlaah KERATO MOMBAA Lucas Mwashambwa yakimkatia Abdul mauno.
Hahahahahaaaaa imebidi ni cheke tu kwa sauti. Abdul alaaniwe anasababisha vijana kama nyie kuwa wajinga.Utahira ni kitu kibaya sana
Kwa hyo kuwa tecdema ndo akili au siyo? Au unataka tuchangie tonetone heche aende kubetia na kutoa gari lake bandarini!
Kuna moja unaondoka leo unafika kesho.😀 😀 hiyo kali bora uchukue bus tu
Ongeza masifuri mawili kwa kandege used kadogo.Wakuu naweza kupata ndege used kwa milioni 5?
Waweke nauli rafiki sio hizi watapata abiria wengi sio wanaweka bei kubwa sana harafu ndege inaenda na abiria wachache mwisho wa siku wanatangaza hasara.Hao abiria watapatikana kuanzisha ruti sio mchezo mchezo wanaweza wakawa wanapata hasara wakijitahidi sana break even