DOKEZO Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa nyie ndugu zangu wamasai mnataka watalii washukie KIA tu halafu wasafiri kuelekea mbugani?

Huyo mnyama aliyepanda ndege yupo wapi mkuu?

Nawasihi ndugu zangu wamasai mkubali kubadilika jifunzeni ufugaji wa kisasa. Nyie wachache mliopata elimu pelekeni elimu kwa ndugu na jamaa zenu ili waache tabia ya kuhamahama la sivyo mtaiona serikali chungu kila siku. Dunia inabadilika na nyie badilikeni.
 
Kwahiyo ndege ya mwarabu imeshuka kwenye msitu wa jeshi?

Hivi mnawajua wanajeshi nyie jamaa?
 
Mafuta ya kupikia yalipanda sana bei hapa nchini hao mnaowaita wazalishaji wadogo hawawezi kukidhi demand ya soko. Kwenye huu mfumuko wa bei anayeumia mwananchi wa kawaida na anayenufaika ni mabwanyenye wachache wazalishaji wa ndani na wala sio hao viwanda vidogo.
 
Tushazoea kuibiwa tuspoibiwa tutakufwa...
nchi nyingine mazungu na maarabu hutengeneza vita za kisiasa ndo waeze kuiba lakini Tz hii wajinga weeengi mmmno haina haja kutengeneza vita unaiba tuu wao wakobize na "Hamoinzi kumwacha kajalala"
Siku tukipata akili kama za Lissu ndipo watatuletea vita tuuwane!!
 
Kwahiyo ndege ya mwarabu imeshuka kwenye msitu wa jeshi?

Hivi mnawajua wanajeshi nyie jamaa
Duuuh! kwanini maneno ya pori tengefu umeyaacha ukachukua maneno ya eneo la jeshi?
Mi nimeona kaandika kua 'pori tengefu ni kama eneo la jeshi',ila ulichomuuliza duuuh!
 
Mnaibiwa kitu gani?

Mbona hata Ndege yenyewe haionekani vizuri ili kujua ni Ndege ya wapi?

Ina maana pia hiyo Ndege imetua ndani ya nchi bila mamlaka husika kujua hilo?
Kwenye hili la pololeti tuwe na data za kutosha kabla hatujaongea sana kisiasa ni vizuri tuje na vielelzo tujiridhishe ndiyo tuchukue hatua tusisahau pollution ni yetu sote
 
Go mama Samia, go!
Haters wako wanaishia kuvaa madera tu na kutwerk maana hawana hoja tena......miradi uliyoachiwa umeitekeleza na mingine unaitekeleza (kinyume na matarajio yao). Kama teke la punda anayekufa, wameona wajaribu ushetani wao kwenye dini. Kwa uwezo wa Mungu, watwerkaji hawa watashindwa na vijora vyao kama walivyoshindwa walipojaribu kutaka kukuzuia usiingie ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…