DOKEZO Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimekuelewa.
 
Wakirisito wamekazana kweli kweli, udini unawamaliza ndani kwa ndani, mtakufa na roho mbaya zenu, ingawa mnajua uadilifu unawaneemesha awamu hii, hiyo clip ni ajili ya kuleta taharuki tu lakini labda dini yao ndio inavyowafundisha hivyo ukweli ni zero
Sasa hiyo clip ndio iwe ushahidi wa wanyama kuibwa? Nonsense
 
Camera man huyo huyo aligundua kwamba ndege haina alama?
Kweli mnataka tuamini ndege zisizosajiliwa ndio zinatua kuchukua wanyama.
Huu ujinga na kutofikiri na ubaguzi mtaacha lini?

HAKUNA hata pikipiki duniani haijasajiliwa. Sembuse ndege.

Hizi ndege ni official, na wameshawahi kupakia wanyama, labda umri wako mdogo, hujui.

Wale wanyama waliopo theme parks za Uarabuni wametokana na IVF za kwenye maabara ?
 
HAKUNA hata pikipiki duniani haijasajiliwa. Sembuse ndege.

Hizi ndege ni official, na wameshawahi kupakia wanyama, labda umri wako mdogo, hujui.

Wale wanyama waliopo theme parks za Uarabuni wametokana na IVF za kwenye maabara ?
Umesoma ukaelewa nilichoandika au umekurupuka tu.Cameraman amedai ndege haina alama yaani haijasajiliwa. Ndio nikaandika inawezekana vipi na yeye alionaje kwamba haijasajiliwa?
Biashara ya wanyama ambao ni surplus inafanyika duniani kote tena wakati mwingine kwa ndege za abiria sehemu za mizigo.Kinachotia mashaka ni uzushi usio kuwa na ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…