Ndege za kivita za IDF zatanda anga la mji Mkuu wa Lebanon Beirut, taharuki kubwa yatanda

Ndege za kivita za IDF zatanda anga la mji Mkuu wa Lebanon Beirut, taharuki kubwa yatanda

Hawa Lebanoni ni shamba la bibi..mtu ana peleka ndege anavyo taka tena capital city
Hizbullah kapeleka drone israel kapiga picha za video kambi za jeshi na kuzisambaza,hao israel washapata taarifa waume zao wamekubaliana na Iran wasianzishe mashambulizi,ndiyo wanajipitisha
 
Si wote wanaweza kufanya hivyo.Bado Muisraeli anawafanya majirani zake ni wanasesere.
Hizbullah mara ngapi kapeleka drone,piga picha kambi za jeshi na iron domes kisha kuzirusha tuone!...hapo israel anajua bwana zake usa washakubaliana na Iran kutoshambulia na vikwazo kutolewa,ndiyo wanajipitisha,wametoka mahandakini
 
Hao wafuga ndevu wakome kabisa kumchokoza Mnyahudi. Waliwateka watoto wa watu na kuwaua wakiwemo wanafunzi wawili wa Tanzania🇹🇿 . Watalipa damu za watu wasio na akili. Mnyahudi hajawahi kushindwa vita
 
Hawawezi kuwa wanatalii lazima wako kazini hao
Siyo kutalii.

Hiyo miungurumo ya radi(Sonic boom) huwa ni njia ya kuharass adui ajione dhalili na apanic.

Kama wana ant aircraft guns lazima wakurupuke kuanza kupiga. Mapigo hayo hayawezi kuzaa matunda kwa sababu ni ya kukurupuka.
 
Mnapigwa sound la kutisha usiku kucha lazima wananchi waoneshe uasi dhidi ya serikali dhaifu! Noma sana.

Sipati picha wale wazee wa mabusha lazima waitahadharishe serikali yao kuhusu "jambo hili". Wanapata tabu sana just kwa sound tu kabla ya kitu chenyewe kushushwa!
 
Lakini siipati picha. Kwani hao Hezbollah wako likizo? au na wao waliingiwa na kiwewe kwa sauti ya hizo ndege na wakajiunga na waliokuwa wanashangaa na kinachoendelea na kutimua mbio na makanzu yao? Si walisema eti hakuna nzi atakayekatiza katika anga lao? Sasa imekuwaje hapo.
 
Siyo kutalii.

Hiyo miungurumo ya radi(Sonic boom) huwa ni njia ya kuharass adui ajione dhalili na apanic.

Kama wana ant aircraft guns lazima wakurupuke kuanza kupiga. Mapigo hayo hayawezi kuzaa matunda kwa sababu ni ya kukurupuka.
Mbona hiyo ndo kawaida yao kukurupuka?
 
Kwa nini Israel inashindwa kuimaliza Hezbollah maana toka miaka ya 80 wanasumbuana sana?
 
Back
Top Bottom