Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

Tofautisha kati ya ndege za ATCL na ndege kutoka Tanzania!

Wamechelewa, tuna world class airport sasa. Hivyo wasafiri wanaweza fanya booking za direct flights. Na mashirika makubwa ya ndege yamesha anza kufanya safari zake kuja Tz baada ya kuona hali ni shwari.. kenya will be in a loosing side hasa wale wageni wanaowadanganya wanashukia kenya bhas kutokea hapo kuingia TZ ndio watakapo nyooshwa. Watalegea tu mbona hao wakurupukaji.
 
Hao nao hawan kazi kweli! Bado wanaizungumzia Tanzania yetu na hilo janga la COVID 19 ambalo sisi tumelishinda! Hawa vipi, nawashauri wazungumzie kinyang'anyiro chao cha kugombea madaraka na their coming election come 2021!
 
USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
Kwa hiyo unaumia sana kuona Tanzania na wananchi wake wanavyoendelea na shughuli kama kawaida?

Iwe kwa muujiza au vinginevyo cha muhimu ni kwamba Corona Tanzania imekosa kutamba. Vinginevyo ni hasira kuona usiyempenda kafanikiwa.
 
Kwa Afrika Mashariki tupo Tanzania na Burundi! Hahahahahaaa
Unachoshangilia hapo ni kipi sasa?

Hiyo nayo unafikiri itamsaidia Lisu kushinda urais?

Tanzania ni nchi huru kijana, inajiamuli mambo yake yenyewe!

Alafu usifikiri hiyo hatua labda itasabisha tz kusinyaa kiuchumi na usifikiri itadumu milele,!
Kenya hawana tofauti yeyote na Tz. Mwisho wa siku utaona watz waningia na kitoka Kenya na wakenya hivyohivyo pia.
 
Wakenya wapuuzi sana, wanatuonea gere, sisi Mungu amesimama kati yetu, wao mara washambuliwe na Al-shababu, mara nzige, huko Turkana watu wanakufa njaa mara korona iwatese alafu leo wanaumia kuona sisi Taifa la Mungu tunadunda, hatuna Korona wala njaa wala nzige wala Alshababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…