Tofautisha kati ya ndege za ATCL na ndege kutoka Tanzania!Hizo ndege unazozizungumzia hapa ni lini ziliruhusiwa kutua kenya hadi wazikataze sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha kati ya ndege za ATCL na ndege kutoka Tanzania!Hizo ndege unazozizungumzia hapa ni lini ziliruhusiwa kutua kenya hadi wazikataze sasa?
Kuna zile zinazotoka Tanzania kupitia Kenya mkuu. Nazo zimepigwa ban vilevile
Kama USA Nayo haipo sioni tatizo....
Ni pamoja na ndege ndogo ndogo za kukodi.Hizo ndege unazozizungumzia hapa ni lini ziliruhusiwa kutua kenya hadi wazikataze sasa?
Tofautisha kati ya ndege za ATCL na ndege kutoka Tanzania!
Ni pamoja na ndege ndogo ndogo za kukodi.
Kwa hiyo unaumia sana kuona Tanzania na wananchi wake wanavyoendelea na shughuli kama kawaida?USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
Unachoshangilia hapo ni kipi sasa?Kwa Afrika Mashariki tupo Tanzania na Burundi! Hahahahahaaa
Wewe ndiyo ujielewi!USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
Kumbe kumuamini Mungu ni kuamini miujiza ya kijinga. Bwa shee??USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
Lazima Bwana yule atalipiza tena muda sio mrefu.
Usihangaike na hayo matahira mkuu!Wewe ndiyo ujielewi!
Au wewe na ndugu zako mna Corona?
Hii nchi imebarikiwa ndugu, Kama Imani yako ni sifuri hiyo haituhusu