Kwahiyo ndege final destination yake hata kama sio JNIA unaamini inaweza kwenda kutua tu JNIA from nowhere?! Kuwa na mashirika makubwa yanayotua TZ sio hoja; hoja ni kwamba ndege zipi za mashirika husika zinatua TZ na kutokea wapi!~!!Yapo mashirika makubwa tu ya ndege yanayotumia viwanja vyetu. Na Tz ndio hub ya utalii hapa EA, direct flight ni kitu cha kawaida tu na pia sio lazima kupitia kenya. wanaweza kutumia Bole na shirika lao lina operate bongo. Ishu ni je KQ ikipigwa pin itakuwaje?. Ukiweka kwenye mzani utaona ni wapi kuna hasara zaidi.
Kama wanapima, weka hapa updates ya corona virus cases in Tanzania!!Nani kakwambia watu hawapimwi? Mbona wizara inatoa certificate kwa wasafiri ambao wanatakiwa kuonesha hizo certificate nchi wanazofikia? Kama uko Dar nenda Mabibo pale utakuta msururu wa madereva wa masafa wakipimwa corona.
Kwahiyo ndege final destination yake hata kama sio JNIA unaamini inaweza kwenda kutua tu JNIA from nowhere?! Kuwa na mashirika makubwa yanayotua TZ sio hoja; hoja ni kwamba ndege zipi za mashirika husika zinatua TZ na kutokea wapi!~!!
Hapo ulipo umevaa barakoa?? Katika mtaa wako au majirani umesikia vifo vingapi?! Kazini kwako wamekufa wangapi? Mmlipompokea huyo TK mlivaa barakoa?!USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
Kama wanapima, weka hapa updates ya corona virus cases in Tanzania!!
Kwamba Wizara inatoa certificates ni kwa sababu wanalazimika kufanya hivyo since huwezi kuingia nchi ya watu wakati status yako haifahamiki!
Amwone Ndugai tuJibu ni moja tu,ndege zenyewe kwa ujumla hakuna faida zipo kama mapambo tu na moja ya sababu tumekosa kiongozi katika hili.
Note!!
Li-Sun-Likali jana katimba stendi ya Ifakara akwaambia waliokuwa wapiga kura wake:Jamani samahanini sikujua kama hawa jamaa wako hivi,
Raia mmoja akamwambia hukuwa unawajua?Nilikupa pilipiki na laki 7 zikusaidie kwenye kampeni hukunrudishia hata jero leo unakuja kuzingua
Amwone Ndugai tu
Hujui msingi wa swali langu?! Hebu jibu nilichokuuliza, kwa sababu kusema eti zipo direct from Russia nayo haiwezi kuwa hoja!!Msingi au mantiki ya maswali yako ni upi? Kwamba hizo ndege zinazotua sasa katika viwanja vyetu huzioni? AU hujui zinapotoka? Zipo hadi direct flights from Russia to Bongo.
Kwahiyo ndege final destination yake hata kama sio JNIA unaamini inaweza kwenda kutua tu JNIA from nowhere?! Kuwa na mashirika makubwa yanayotua TZ sio hoja; hoja ni kwamba ndege zipi za mashirika husika zinatua TZ na kutokea wapi!~!!
Simple and clear, Huna takwimu kwa sababu HAWAPIMI, na kwamba hoja yako kwamba bado wanapima sio ya kweli... kinachofanyika ni special cases kama vile kupima madereva kwa sababu walikuwa wanakataliwa kuingia nchi jirani bila kuwa na cheti cha kuthibitisha status yako!Yes, na wanafanya hivyo kwa sababu ndio matakwa ya hizo nchi wanazotembelea. Hivyo vipimo vinafanywa kuwaaminisha hao wa nchi nyingine huko kwamba tuko fit.
Takwimu za nini tena unataka? Kwani ugonjwa ni kitu cha kuficha? Takwimu zinapatikana huku mitaani hivyo zinaanza na wewe kutoa takwimu maeneo yanayokuzunguka kuna wagonjwa wangapi na vifo vingapi vimetokea kwa sababu ya corona.
Kwa hiyo mkuu na wewe unaamini kuwa bado Corona ipo Tanzania na inaua watu? Hao watu wanazikwa wapi mbona Mimi siwaoni mtaani kwetu? Hata ndugu zao hao watu nao mbona hatusikii wakisema chochote? Au Mimi niko Tanzania nyingine.USA wao wanapambana kumaliza janga, siyo kama sisi tunaoamini katika miujiza ya kijinga!
Hujui msingi wa swali langu?! Hebu jibu nilichokuuliza, kwa sababu kusema eti zipo direct from Russia nayo haiwezi kuwa hoja!!
Kwamba eti kuna ndege zinazotua sasa hivi sasa nayo sio hoja kwa sababu nimekuuliza
USA haimo!Hiyo orodha Ina nchi ngapi?
Simple and clear, Huna takwimu kwa sababu HAWAPIMI, na kwamba hoja yako kwamba bado wanapima sio ya kweli... kinachofanyika ni special cases kama vile kupima madereva kwa sababu walikuwa wanakataliwa kuingia nchi jirani bila kuwa na cheti cha kuthibitisha status yako!