Kwahiyo ndege final destination yake hata kama sio JNIA unaamini inaweza kwenda kutua tu JNIA from nowhere?! Kuwa na mashirika makubwa yanayotua TZ sio hoja; hoja ni kwamba ndege zipi za mashirika husika zinatua TZ na kutokea wapi!~!!Yapo mashirika makubwa tu ya ndege yanayotumia viwanja vyetu. Na Tz ndio hub ya utalii hapa EA, direct flight ni kitu cha kawaida tu na pia sio lazima kupitia kenya. wanaweza kutumia Bole na shirika lao lina operate bongo. Ishu ni je KQ ikipigwa pin itakuwaje?. Ukiweka kwenye mzani utaona ni wapi kuna hasara zaidi.