Ndege zilizotengenezwa Tanzania, zinauzwa milioni 500, Kwa bei hii wewe tu 'Upae au daladala'

Jiulize swali
Imetengenezwa Tanzania na mtanzania mweusi?
Vifaa vyake kama engine, vipima altitude na speed vimetengenezwa Tanzania?
Hiyo sawa sawa tu na pikipiki za mchina zinazo kuwa assembled Tanzania.
Na hii ndo shida iliyokwenye vichwa vyetu tunabrand vya wenzetu ty ila vyetu ni mwendo wa kuviponda sasa mnataka tuanzie wap kama tunashindwa kupenda vidogo kama hivi...duh ama kwel kazi ipo
 
Iyo ndege ata nikipewa lift ya bure sipandi
Mnaogopa ajali kwan za wazungu mnazoziamn hazipati ajali mbn wabongo hatufikilii kwanz hii ni hatua kubwa inabidi kujipongeza sema waty ambao hamtaki maendeleo ndo hvyo
 
Na hii ndo shida iliyokwenye vichwa vyetu tunabrand vya wenzetu ty ila vyetu ni mwendo wa kuviponda sasa mnataka tuanzie wap kama tunashindwa kupenda vidogo kama hivi...duh ama kwel kazi ipo
Mimi nimempa maelezo haya ili aondoe shaka juu ya usalama wa hizi ndege kwa kuhofia viwango duni vya hizo ndege.
Mbona wanapanda pikipiki zinazo kuwa assembled Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…