Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Ebu tupe ushaidi hata kutoka bbc ukisema Ukraine imekomboa khersan kwa asilimia 80 mkuuNa huu ni mwanzo tu, maeneo yote yalotekwa yatakombolewa, mpaka Crimea ipo siku moto utawaka pale.
Kherson mpaka sasa zaidi ya 80% Ukraine inakaribia kuikombia.
Ndo Nani huyo, mwenzenu nini maana hayo ndo mambo ya NATO.Shoga kama shehe Muhsin.
Kwahio Ukraine inazidi kukamata maeneo sio? 😄😄Hali ni tete kwa vikosi vya mstari wa mbele vya Urusi hapo Kharson
Russia hawavai kobazi
Putin ni dikteta na ni shoga piaHeri madikteta kuliko mashoga alafu Putin sio dikteta
Umeona furaha ya wenzioHuu uzi mashoga Wana ufurahia
Furaha yenuUmeona furaha ya wenzio
Waarabu wa Pemba mnajuana kwa vilemba, ndo maana umejua furaha yenu kwa Uzi huu na ukatangaza hapa.Furaha yenu
Tuna wajua nyie wanachama WA upinde WA mvuaWaarabu wa Pemba mnajuana kwa vilemba, ndo maana umejua furaha yenu kwa Uzi huu na ukatangaza hapa.
Sasa hivi ndio wimbo wako,huna tena maneno ya taarabu. HIMARS zimekukata mdomo.
Ndio tatizo lenu pro Putin Mandonga mkishindwa hoja mnaanza matusi.Huu uzi mashoga Wana ufurahia
Ila wanagida sana vodka na kuchangamkia sana kiti 🔥Russia hawavai kobazi