Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Ebu tupe ushaidi hata kutoka bbc ukisema Ukraine imekomboa khersan kwa asilimia 80 mkuuNa huu ni mwanzo tu, maeneo yote yalotekwa yatakombolewa, mpaka Crimea ipo siku moto utawaka pale.
Kherson mpaka sasa zaidi ya 80% Ukraine inakaribia kuikombia.